Recent content by Lucious

  1. Lucious

    Je, maandamano ni haki ya kikatiba?

    Je nani anasimami na kwa nn?je amani ipi maandamamo yanavuruga...je ethics zake ni zipi...je hao wanaotisha kuua au kukamata nani anavuruga amani...as ulinitisha lazima.nijiandae....bt wanaovuruga ni polisi na viongozi
  2. Lucious

    Je, maandamano ni haki ya kikatiba?

    Sifungamani na upande wowote, naogopa kutekwa. Napenda maisha na familia yangu, naipenda Tanzania ya zamani sio ya sasa. Je, maandamano ni haki ya kikatiba? Ndio swali najiuliza. Je dikteta ni mtu wa namna gani? Je, viongozi wa dini wana haki ya kufanya au kuongelea siasa? Naanza kuwaza kwa...
  3. Lucious

    SERIKALI: Tumepata pigo kifo cha Mwanafunzi NIT, tutagharamia msiba na mazishi

    Hii serikali ya ajabu sana,hv lini wataacha kuua watu na kujisafisha kwa hela ambazo ni kodi zetu,chuki na taifa linalotengenezwa ipo siku damu itakuja lipwa. Profesa j aliimba kwenye wimbo nang'atuka akaweka mabaya yote alofanya,ndio naona kwenye awamu hii..... anayeua kwa upanga atakufa kwa...
  4. Lucious

    Masoud Kipanya anafanya biashara gani hadi aendeshe magari ya kifahari? Mwenyewe amejibu..

    Hv unaleta mada km hii bila kuwaza....kwan akiendesha au hata km ni mombasa ww inakuuma nini?mfate akupeleke....leta ishu za maaba sio kujadili wanaume wenzetu.
  5. Lucious

    Tuache siasa kwenye ujenzi: Majibu ya nyufa hizi, yatolewe na The Professionals, AQRB, ERB, CRB, na sio mtuhumiwa TBA!

    Mstakiwa wa kwanza ni TBA, na nadhan akifanya design na constraction.... Pia labda TBA hajui maana ya expansion joint.... Uwez pata ufa kwenye expansion joint.... Wanafanya maisha marais na kuharibu taaluma,ukwel majibu ya tba ni siasa tupu....
  6. Lucious

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Sio povu unataka details ungefata simple procedure...then uelewa wako ni mdogo,ushazoea kubishana kwa mbwebwe bse hujui nn waelezea,pia email yangu ni strickly kwa bussiness,even namba nlokupa haina mahusiano na kazi ni ya kuchat ukipiga uwezi nipata....
  7. Lucious

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Point of correction,sipo kusaka lolote so usidhani naweza fanya ujinga huo,ndoa maana umeona nachat kwa lugha rahisi na uelewa,sijatukana...elewa nime mwambia jamaa namba ya whats app na uwez piga ukanipata,pili siwezi tuma kazi zangu hapa kisa kumfurahisha mtu,najua all forum na miiko...
  8. Lucious

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Point of correction,mimi sio dogo,napokaa hapakuhusu na pia sipo kushindana na mjnga.So stop waste ur time,im aint for shit.U wanna knw me here is my whats app namba 0717255565.....Sio kila mtu hapa anakuja kusaka umaarufu na kubishana kindezi.Ur just a cunt so bear with it,im not your type,cheers.
  9. Lucious

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Unaandika nn asee....nani kaponda?sipo kwenye chama chochote na hata serikali hainiletei chakula kwangu.
  10. Lucious

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hatuna uhuru wa habari...just chill bro hapa wataanzaa Matusi
  11. Lucious

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Sipo kwenye usahili au silipwi kwa kuandika...just namaliza bando...then sipo kubishana na ww au yeyote....unatoka kwa mada unaandika nonesence....pia tofautisha msanifu majengo na mhandisi,though all we learn engineering bt uwez muita architect kua ni engineer....then ur perception na zako na...
  12. Lucious

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Dah....nachelea kusoma na kujibu maana naloandika mm na nyie ni mambo mawili tofauti....kukua kwa miji ni evolution lazima itokee maana kuna mambo mengi yanabadilika...technology inapokua....akili zinakua na maendeleo lazima yawepo....mzee master plan haizuii kujenga bt my point haikuwepo na...
  13. Lucious

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    So km umeleta post hutakiwi kukosolewa?kwa nn unatukana basi...mm nmekanusha dar haina master plan....nmesema nairobi ni 6 city in afrca kwa mengi...barabara....kupangika...usafi....unataka fact za kiaje....ongoin project au kuvunja nyumba....au ulitaka nitumie lugha ngumu
  14. Lucious

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Soma title kijana....
  15. Lucious

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Then pole nakaa kimara....
Back
Top Bottom