Wakuu,
Nimegundua jambo la kushangaza – baadhi ya app za mikopo kama YakoMkopo na PesaSasa hazionekani tena kwenye Google Play Store. Uki-search zinaonyesha “This app isn’t available.”
Swali ni:
Je, hii ni hatua ya makusudi dhidi ya hizi app? Kama ni kweli zinafanya udhalilishaji, riba kubwa au...
May be I am too blind to see, the victim does not look like someone who has been gunned down by 5 bullets. Ni ngumu anaonekana kama mgonjwa wa Malaria sioni dalili la jeraha!
Hivi Manji account zake za Bongo ziko frozen, if yes then inawezekana anatunza hela huko kwa wakili wake kwenye Safe kwa pesa anazochukua from his overseas accounts. Hana access na bank hivyo wapigaji yawezekana walinusa kuwa Safe ina mpunga wa kutosha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.