Recent content by Lucas mwangomola

  1. L

    KERO DAWASA mgao, umeme mgao mtatuua Dar jamani

    Mfano huku maeno ya mikochen tangu mwezi wa pili hakuna majina lakin bili inatoka na leo pia wameleta bili wakat maji hakuna na hayajawahi toka hata siku moja lakin bili imekuja karibia 40k
  2. L

    JamiiForums Usiku wa manane

    Tushaamka mbona
  3. L

    Kazi nilizowahi zifanya na zikanishinda kwenye utafutaji

    Nilibeba block kama 100+ sasa ile natembea nikashangaa misuli imekaza aisee nililiachia kama lilivo alavu ilikua kwenye msingi uliojemgwa nikasema liwalo na liwe bahat nzuri msingi haukuvunjika maana tofali zilikua imara. Hii kazi achaga tu
  4. L

    Kazi nilizowahi zifanya na zikanishinda kwenye utafutaji

    Jamaaa we ni fala aisee ko mwana dege dege ukamtafuta alipo alooo nimecheka sana aiseee mwamba umepitia mengi lakin inaonesha hupendi shida aisee mana kila ikifikia pagumu unapotea aiseee
  5. L

    Kazi nilizowahi zifanya na zikanishinda kwenye utafutaji

    Nilirudi nyumban bega na mkono umechubuka achaga tu hii kazi sio rahisi afu nlikua na homa pindi naenda ila kurudi homa yenyewe ikapotelea kusikojulikana
  6. L

    SoC02 Vijana na tatizo la ajira

    Nimependa hii stori yako yenye uhalisia halisi wa nchi yetu hii ngumu
  7. L

    Uzi wa kuwapa vijana wazo la ujasiliamali/biashara baada ya malipo ya kazi ya zoezi la sensa kuisha

    Nimeipenda hii elim mungu akisaidia inaweza nitoa kimaisha moja kati ya hizo idea
  8. L

    Usitafute pesa kwasababu ya mwanamke, iwe kwaajili maisha yako. Kilichomkuta huyu jamaa ni fundisho tosha!

    Hili jambo ni sahihi kabisa kaka pesa sio kigezo cha kupendwa bali ni kigezo cha kupata wanawake wengi wao wenye tamaa za kutaka kupata pesa yako
  9. L

    Sensa ya Watu na Makazi: Tuliulizwa kama unafuga ng'ombe, mbuzi, kuku. Lakini kwanini hatukuulizwa kama unafuga Nguruwe na Mbwa?

    Sasa dini na dodoso za kujua idadi ya wanyama vina uhusiano gani mi naona kama maslahi ya nchi yataelemea itikadi flani huoni nchi inaweza isifike popote kimaendeleo. Kwa maana mtu kujua mfano kama una nguruwe au laah kuna punguza ama kuongeza nini kwenye dini yake. mi naona mtazamo wako ni very...
  10. L

    Wananchi wa Jimbo la Hai wambatiza majina mapya tofautitofauti Mbunge Saashisha Mafuwe

    Si yeye aliyejipa hizo sifa bali watu wameona kazi zake na wanayasema wayaonayo. Labda tatizo ni kwamba watanzania ni siku zote wamezoea kuona uozo sasa manpoona kuwa kuna kazi ya kwel inafanyika hamuwez kukubali kwa sababu ni pesmistic in nature
  11. L

    Nataka single movie ya kunitoa machozi

    Pia kuna tere naam ya salam khan aisee hii movie ingawa nlikua mdgo lakin ilinitoa machozi aisee
  12. L

    Nataka single movie ya kunitoa machozi

    Hii sasa si ndo mpaka atulie mana watu anataka alazimishe machozi ila hii movie ina kupa goosebumps hadi sio poa nimeipenda hii
Back
Top Bottom