Hapo Umepigwa babu,je uliwahi kuliona shamba baada ya kupanda mpunga,? Maana hapa naona kabisa dalili kuwa uliigwa kuanzia hela ya kukodi Hadi kuvunia kwa maana ya kwamba shamba hakulima
Hakuna barabara Kati ya liwale - ifakara pia liwale- Nangurukuru haipitiki hapa ndo naona umuhimu wa serikali kutengeneza barabara Kati ya liwale na ifakara
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.