Natafuta tractor used 4WD

Natafuta tractor used 4WD

Pia kuna mashirika,viwanda na taasisi flan kwa baadhi ya mikoa huwa naona wanamiliki matractor,hv nayapataje yale nikitaka waniuzie used😀
 
Pia kuna mashirika,viwanda na taasisi flan kwa baadhi ya mikoa huwa naona wanamiliki matractor,hv nayapataje yale nikitaka waniuzie used😀
 
Itakukosti sama bora uende zinakouzwa unatoa hela nusu unakopeshwa unachukua mpya kabisa mbaona inawezekana kwani wee uko wapi
Natafuta tractor iliyotumika ambayo inatembea na ipo katika hali nzuri,.... Nahitaji tractor tu bila accessories zake.

Lakini je, ninaweza kununua tractor kwa kuunga unga, yan ninunue mkweche kisha nikae da kuutafutia engine mpya, gear box mpya kisha nikaliunga?
 
Mkuu samahani ,kama unaweza kufafanua kidogo hapo unaposema swaraj 744 nyota 1 na nyota 4 inamaanisha nini?
Pili,hapo kwenye staring ya upepo ndo ile kwamb staring unazungusha kwa kidole?
hiyo nyota nne ndo ya upepo unagusa tu af difu kubwa kwhy inapita hat sehemu mbaya mkuu.Kwa nyota 1 hii ni ya kawaida tu ila kwenye kilimo hii inakimbiza kuliko nyota 4
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom