Recent content by Lubuye

  1. L

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanachangia sana ndoa kuvunjika

    Rekebisha kwanza hiyo english yako maana hakuna english ya "I HAS".
  2. L

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi hakuna haja ya hii Mei Mosi hapa muwe mnaendelea tu kazi zenu

    Kama leo ndio umeliona hilo basi naweza sema ulichelewa sana!!
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mchumba wangu kamtumia ex-wake picha za uchi

    Na wewe tafuta mwingine mtumiane hizo picha kama huwezi kutumiana na huyo uliyenae sasa.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Kwa miaka 4 iliyopita sijaona beki wa kati kama Rio Ferdinand

    Bologna hapo ulipomtaja nesta ni nafasi ya maldin.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kachukua nguo yangu ya ndani

    Hiyo mitazamo hakuna mwenye uhakika nayo hata mmoja. Pengne ameichukua iwe km kumbukumbu kwake maana mwenyew ulishasema kuwa anakupenda sana.
  6. L

    JamiiForums Tanzania Shaffi kwa nini humkubali Ronaldo?

    Mimi nilichoona lile goli la ronaldo Halina tofauti na lile goli la Rooney. Japo naona hata kocha wake amesema halijafikia goli lake la mwaka 2002.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Kufufua ATCL ni shabaha yetu sote Watanzania. Tunapishana kwenye mbinu za utekelezaji

    Taarifa kwa mtoa mada!! Zito siyo mbunge wa Kigoma kusini. Zito ni mbunge wa Kigoma mjini.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Hivi unaweza ukawa hujui Kiingereza cha Kuongea lakini cha Kuandika Twitter kikawa kimenyooka?

    Labda niulize tu kama na wewe umedai kuwa hujui kiingereza sasa huwa unatambuaje kuwa mwenzio anaandika kiingereza kilichonyooka!!?
  9. L

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimempa mimba binti ambaye si wa ndoto zangu

    Mtoa mada naona unataka kucheza na akili za wanajamvi humu ndani!! Km aliogopa vibaka kwanini usiku ule kwanini usingemsindikiza kisha ukarudi geto kwako!!? Mada zingine muwe mnakaa nazo wenyewe vichwani mwenu!!
  10. L

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ananiwekea masharti kwenye tendo la ndoa, nimechoka kuvumilia

    Ingependeza km ungetoa na sababu za mke wako kuwa ivo. Na km hakuna sababu hata moja basi wewe ni mme bwege na pengine hufai hata kuitwa mwanaume!! I'm ver sor.
  11. L

    JamiiForums Tanzania Wasafi TV kuanguka kabla ya kuanza

    Time will tell.
  12. L

    JamiiForums Tanzania Zambian former Vice President, Nevers Mumba sentenced to 3 months imprisonment

    Waswahili wanasema "kelele za vyura hazimzuii ngo'mbe kunywa maji".
  13. L

    JamiiForums Tanzania Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

    Fasihi ndio mpango mzima, mm naungana na waliokuelewa. Genta nimekuelewa sana. Hakika uko vizuri. Lakin huko mbele za haki asitarajie kupewa hayo madaraka maana sidhan kule kama yohana atakuwepo.
  14. L

    JamiiForums Tanzania Je, vyombo vya habari vya kimagharibi vimesusia kombe la dunia Urusi??

    Time will tell.
  15. L

    JamiiForums Tanzania Mambosasa: Wakiandamana kupitia mitandao ya kijamii hatuna shida, ila wakiingia barabarani wasijutie

    Kama unadhani itakuwa kama unavyofikiria siku hiyo wewe ingia barabarani tu!! Bila shaka utajua kuwa polisi wana ndugu zao au hawana. Ningependa kumuona hata mhamasishaji mkuu akiwa yupo barabaran katika ukanda huohuo wa kamanda.
Back
Top Bottom