Karibu Prof, hakika wewe ni prof wha ukweli, lazima tukubali kwenda na wakati. Karibu sanaaaaaaaa. Kuna Siku nilikusikia kwenye luninga, ukisema maeneo Kama ya mwananyamara, manzese yapimwe, zijengwe nyumba , maduka nk kuliko vijana ambao ndo wazalishaji Kuliko kiuishi bunju, mbali na mjini...