Samson Mwigamba: Hatutakusahau Mizengo Kayanza Peter Pinda

Samson Mwigamba: Hatutakusahau Mizengo Kayanza Peter Pinda

Toka siku alipoutangazia umma kwamba "Mafisadi ni watu wenye nguvu kubwa ya uchumi, kama serikali itawakamata uchumi wa nchi utayumba", nilimdharau nikadharau na mamlaka iliyomteua, nikadharau na bunge lililo muidhinisha.
 
Hii serikali ya akina Pinda ina dhambi isiyopimika kwa haya iyatendayo dhidi ya wananchi wake.,INAKUWAKE IZUIE HOJA ISIJADILIWE BUNGENI ILI KUPATA MUAFAKA WA KITAIFA BAADAE WANAUMBUKA NDIO WANAKUJA NA HOJA ZA KUUNDA TUME ILI KUFUJA AKILI NA HELA ZA WATANZANIA.Am sorry hii sio fair hata kidogo.
 
hivi alivyoulizwa kuhusu umiliki wa ile kampuni ya mabasi alisemaje vile?
 
Naona Pinda ameanza anatengeneza mtandao, si ilisemwa ni miongoni mwa wenye mvuto wa urais naona sinema inaendelea.!
 
Tanzania inahitaji viongozi wanaowajibika kwa wananchi,wanaofahamu nchi inahitaji nini kwa wakati huu.
Otherwise nguvu ya mabadiliko ni kama dhoruba,ni vigumu kuizuia kwa sasa,
 
Kuwa na viongozi cowards kama hawa ni janga la taifa!!!!
 
Samson Mwigamba kamanda unatafuta tena ugonvi mwingine sidhani kama TISSccm watanyamaza kwa hili, ile noma ya jeshi iliisha?
 
kuna uzi uliletwa hapa jf jins mambo yalivo Substandard Tz-ukwel ndo huo kila kitu substandard tz
 
akisoma hii thread lazima atoe chozi, kiboko yake Lema tu.
 
Ndiyo maana tunataka uhuru wa vyombo vya habari ili viweze kutuhabarisha na kuchambua mambo kwa mapana na mazito yake. Viva Tanzania Daima!! Hivi mhariri wake hali ikoje kwa sasa? Tanzania bwana kwa vitisho ni mwisho wa kazi.
 
Baba Askofu Methodius Kilaini alipata kusema: "JK ni "Chaguo la Mungu"; je tulimuelewa??!!

Nae Mbunge wa Arusha Mh. G. J. Lema; kipindi fulani akatamka haya: "watakaotubeza na kututukana wasameheni wanahitaji ukombozi wa fikra"

Tafakari!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kaka Bluray alishaonya tangu siku Pinda anatoa acceptance speech bungeni. Wengine wakamuona mzushi.

Sasa mnajionea.

Lakini mkimsema Pinda kama mnamuonea. Lini tumekuwa na utamaduni wa "meritocracy" Tanzania?

Tofauti ya msingi kati ya Pinda na Kikwete (ukiondoa vyeo vyao na ambition labda) ni nini?

Pinda alisema kwamba alipotoka Ikulu kutaka kwenda kugombea ubunge, Mkapa alimshauri asubiri kuwa tayari zaidi. Hakusikia. Labda Mkapa alijua huyu bomu, not that Mkapa is the elector.

Say what you want about Lowassa -and I am not a Lowassa fan- lakini angalau kwa Lowassa the concern was not that he was going to be too passive, but rather too aggressive (kusulubisha wakuu wa wilaya hadharani kama watoto).
 
Last edited by a moderator:
Aliishawahi kulia bungeni, kuhuusu mauaji ya ndugu zetu wha ulemavu wha ngozi
 
Hata mkuu wake waislam walipochoma makanisa Mbagala alipotembelea makanisa yaliyochomwa alisema "...aliyekojolea kurani kakosea na aliyechoma makanisa naye kakosea"
 
KWANI Mizengo Kayanza Peter Pinda BADO WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA??SI AMESHASTAAFU AU NAOTA!!!!!!!!!!!1
 
Bora Mizengo Pinda aendelee kuwa legelege na dhaifu, kwani huwa akitoa MATAMKO MAZITO basi yanakuwa JANGA la kitaifa kwa sisi raia wanyonge
  1. Aliwahi kusema LIWALO NA LIWE, matokeo yake ni Dr. Ulimboka kuteswa na kutupwa msituni.
  2. Aliwahi kusema watu wanaoua Albino wakikamatwa wauwawe hapo hapo MOB JUSTICE. PM anaye advocate anarch, tumeshuhudua sasa watu wakiuawa na kuchomwa moto kwa wizi wa kuku, simu, mahindi etc.

Kitu kinachoniuma zaidi tutaendelea kugharamikia ULEGELEGE na UDHAIFU wake katika maisha yake yote hapa duniani! Mzimu wake bado utaendelea kutafuna kodi zetu. watanzania tunalo! Huyo ndiye MFALME WA NYUKI.
 
Toka siku alipoutangazia umma kwamba "Mafisadi ni watu wenye nguvu kubwa ya uchumi, kama serikali itawakamata uchumi wa nchi utayumba", nilimdharau nikadharau na mamlaka iliyomteua, nikadharau na bunge lililo muidhinisha.

mimi nadhani...........hehehheee PINDA NI WAZIRI MKUU POA SANA
 
Back
Top Bottom