Kwa muda mrefu sasa CHADEMA imekuwa inahamasisha washabiki/wapenzi wake kujiunga na M4C, au Movement For Change (kwa kiingereza). Wakati mwingine wanaona kwamba jambo lao fulani limefanikiwa, basi ni kutokana na nguvu ya M4C, na kadhalika, na kadhalika......... Baada ya kuambiwa kuwa huko...