Serikali kuwaondoa Walimu kwenye sensa, sasa kuwatumia Wanavyuo!

Demands from other groups in the civil service.

Pay reform is an important component of public service reforms that have been going on for years now and they cover the whole public service sector (including teachers!)

Kama ilivyo kwa wafanyakazi wote wa serikali wanahitaji kuboreshewa mishahara yao kulingana na uwezo wa mwajiri (serikali!) Kushughulikia Makundi ni hatari sana kwa mustakabali wa nchi hii.

Yapo makundi ambayo yana uwezo mkubwa kuliko walionao waalimu kudai wanachokitaka, lakini nidhamu iliyojengeka katika taaluma/kazi zao ndiyo inayowazuia kufanya fujo za jinsi hii!
 
Baada ya waalimu kutekelezewa KILA WALICHOJIPANGIA KULIPWA, nani atazuia kundi lingine la wafanyakazi kuibuka (mfano wauguzi n.k.) na wao kuamua KUJIPANGIA WANACHOTAKA KULIPWA, na kisipolipwa nao wanatangaza mgomo? HIVI HAYO MAISHA MAGUMU YANAWAKABILI WAALIMU TU? AU MAKUNDI MENGINE YA WAFANYAKAZI SIYO MUHIMU KATIKA TAIFA HILI? KWA NINI HAWATAKI SERIKALI KUWZSHUGHULIKIA WATUMISHI WOTE KATIKA UJUMLA WAO? KAMA SIYO HULKA YA UBINAFSI WAKITUMIA FURSA YA UWINGI WAO KUTOA MASHINIKIZO YASIYOKUWA NA MSINGI. If the Government yields to these OUTRAGIOUS DEMANDS it will have created an UNMANAGABLE PRECEDENT in dealing with any future

Kwa maana hii Madaktari na Walimu ni wabinafsi. Wanajiona wao ndio muhimu zaidi kuliko kada nyingine. Nadhani madai haya yanawahusu watumishi wote mpaka kwenye sekta binafsi. Kwa mfano wakaguzi wa nyama wanaoamka saa 8 usiku kwenda machinjioni kupima usalama wa nyama wakigoma, athari yake itakuwaje? Madereva, House Girl wako nyumbani akigoma inakuwaje-(fikiria wife atakavyochanganyikiwa).

Tatizo ni serikali inapokuwa na mjadala na hawa viongozi wa wafanyakazi, inatakiwa wawe wazi kuonyesha bajeti nzima, mapato na matumizi, ikiwa ni kudhihirisha hesabu ya madai yao against mapato, ipatikane opinium serikali ifanye nini iache nini ingawa hii ni kazi wa wabunge (wanaofikiria maslahi yao binafsi) kuishauri serikali. Mbona Rais ameweza kuchambua ikiwa madai ya walimu yakitekelezwa ni kiasi gani kitatakiwa, angalau picha inaonekana.

USHAURI: Ili tuweze angalau kutimiza matakwa ya watumishi wote basi tutoe matumizi yafuatayo:-
1- Safari za Rais nje ya nchi zifutwe (Mbona Moi wa Kenya aliweza?)

2- Ziara na safari za wakubwa serikalini ndani na nje ya nchi zipunguzwe/zifutwe Kwa mfano Ma DED kila siku wako safarini na ma VX yao.

3- Semina, Makongamano, Warsha, Mafunzo kwa viongozi wa serikali yasitishwe. (hivi wakati wanaajiriwa/teuliwa si walikuwa na elimu inayowawezesha kufanya kazi zao?). Wakiandikiwa mwongozo watashindwa kuelewa mpaka wafanyiwe semina/mafunzo?

4- Ongezeeni na yie wanajamii nini kifanyike kupunguza matumizi ya serikali (Wabunge wanashindwa!!!)
 
Hata kama wakiwaondoa, walimu safari hii wameamua. Tena serikali iache mikwara ya kitoto!

:israel:Walimu juuu!
 
Mleta uzi ana maslahi binafsi..................... nahisi aliomba kazi ya sensa, so anachekelea iwe hivyo.
 
Acha utani weweee...unajua imechukua siku ngapi na gharama gani kuwatrain hao makarani wa sensa? Zimebaki wiki 3 tu sensa ifanyike...we dont afford to train a new team!


Mkubwa!

Umesahau hii kauli ya waziri mkuu!

LIWALO na LIWE!
 
Back
Top Bottom