Waungwana naomba mnisaidie folmural ya ulipaji wa mafao ya mirathi ,msimamizi wa mirathi hiyo anadai marehemu kafanya kazi kwa muda wa miaka 22 na mshahara wake ulikuwa ni zaidi ya milioni na laki tano alikuwa ni mwanachama wa pspf mnaofahamu folmural ya ulipaji anisaidie