Ninatafuta mdada wa miaka kati ya 20-30 wa elimu ya angalau kuanzia Form-4,Mkristo wa dhehebu lolote isipokuwa Sabato,aliyetayari kuanzisha mahusiano na mimi ambayo yatapelekea uchumba na hatimaye kuoana. Awe tayari kupima HIV. Mimi ni mkaka wa miaka 33 sasa,ni graduate na nimeajiriwa...