Hizi taa watu wengi hawajui namna na mahali pa kuzitumia.. mie naona sawa tena sawa sana.. eti wanaota "Jua" akili ndogo kabisa.. mjini mtu anawasha sport lights za nini sasa..
Mwanaume anahitaji HESHIMA, SEX (coz its a basic need to all men).. Na MWANAMKE ANAYEJIELEWA na MNYEMNYEKEVU (ila sio unyenyekevu wa kifala)..
Hakuna mwanaume mkorofi mbele ya mwanamke mnyenyekevu..
Umesema vyema sana ila hapo kwenye uhuru nina shida kidogo... Mishe za kiume ndipo wengi wetu hujificha.. ni uhuru na kuaminiwa kwenye kutafuta hela...
Taasisi yoyote ina majukumu na lazima iongozwe.. kila binadamu hapa duniani ameumbwa kwaajili ya kazi fulani na ana majukumu yake katika jamii, familia, kazini, kitaifa na kwengineko ila pia kila mmoja ana nafasi yake katika NDOA.. iwapo wewe ni muumini wa dini eidha ya kikristo ama ya kiislam...
Watu hupenda kuchukulia mambo kimzaha mzaha...china na japani kipindi flani walisimamisha mazungumzo kwasababu japani alitaka kutoa mkono kwanza baada ya kusaini makubaliano na baada ya china kukubali ombi la japan ndipo saini za makubaliano kuhusu kisiwa yalisainiawa...
Kila ishara, kitendo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.