Kidume cha mbegu
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 1,251
- 709
Toka nimeanza mwaka huu mpya Wa mwaka 2016 nimeshatembea au kulala na wanawake 18 mpaka kufikia Leo wakiwemo wanafunzi Wa vyuo, wadada Wa mtaani,wake za watu,hadi najishangaa kuwa mpaka mwaka huu uishe watakuwa wangapi?
Na je sitakuwa nishatembea na wanawake wengi sana ambao naweza kujaza mabasi hata matatu
Hiv hii ni hali ya kawaida au ninapepo LA ngono?
Na kama ninalo naliondoaje ili niache tabiya hii.
Naombeni msaada Wa kuacha hii tabia..