Mume wangu ana michepuko hamsini kidogo

Mume wangu ana michepuko hamsini kidogo

Hakuna Mapenzi hapo ! Tafta anayejitambua,ila sizani hata kama Shoo hapigi ukakizika,,Na Je kama anakulizisha ,,? siku hizi niwachache
Hana lolote la ziada kamoja tu hoi
 
Kaa chini muongee usikute kuna manjonjo umepunguza
Sina nilichopunguza uwezo wake wenyewe ni wakuvumilia yaani anapenda kuonekana ni mjanja lkn sekude tano kamaliza na hanauwezo wa kurudi kadude kenyewe ni kibamia yaani tabu tupu
 
Huyo ndo anafaa shikilia hapohapo usilegeze mana analeta ujuzi mbalimbali chumbani
 
Ahaa Monica weeee daah uko vzur sana
 
Mpe kila siku. Tena Mara 3 kwa siku. Ilishindikana peeks akaombewe. Shetani huyo
 
Naona umehitimisha kwa kusema kwamba "huwezi endelea kumfuga malaya" huyo mumeo.
Alafu naona tena unaomba ushauri nini ufanye
Nimecheka pale ulipo malizia kwamba "unaomba dawa ya kumkomesha".

Alafu........
Kwani huyo ndio yule ulikua ukiunguzwa na manii zake?
 
Mfukuze. Kunguru hafugiki usiwe fala mpaka akupige akutoe kizazi ndio uje kulialia hapa
 
Mwambie atumie kinga! Usimfuatiliemambo yake ndo kwanza unampa bichwa... Muignore
Huyo kafuata kulelewa!
 
Thanx but this time yamenikuta kweli
Pole sana. Hebu kaa naye chini muulize shida wapi?
Ni vizuri pia utafute wazee wamuonyee. Ukiona habadiliki basi uachane naye. Ila usimwambie km utamuacha sbb anaweza kukuibia.
Cha kufanya mwambie atulie tena tumia maneno ya upole kbsa wala usimkaripie.
Ukiona bado, ww mfanyie suprise tu, umpige chini, tegea siku ametoka kweny mizunguko yake mwambie achukue vitu vyake aondoke na asikanyage tena.
Unajua siku zote mtu ukimpenda sana huwa anaonyesha kadharau fulani hiv. Ukiendelea naye atakuambukiza UKIMWI ndipo hapo utaanza kujuta.
Kuna wakati unabid utumie AKILI na siyo MOYO ktk issue ya mapenzi.
Usithubutu kushika ujazito kipind hiki, utateseka sana
 
Nunua pampasi za watu wazima na nepi akikuuliza mwambie unamwandalia vifaa vya kumuuguza. ..
 
Jiangalie mwanamke... Anachepuka coz kuna kitu wamnyima mtoto wa mwanamke mwenzio na ndo mana anahangaika nnje...
 
Back
Top Bottom