Recent content by LovelyLoveness

  1. L

    Kiswahili kitamu bwana

    A: UPO UPO? upo kwa muda kidogo (muda si mrefu utaondoka) B: UPO? Je upo kwa muda usiokadiriwa( kikomo cha uwepo hakipo bayana) yaweza kuwa siku, mwezi, Mwaka, miaka n.k
  2. L

    Dunia ina maajabu sana, hebu tizama hii video

    Ni kweli,hata mimi nimezicopy kwenye karatasi. Huyo ana two different lists.
  3. L

    Wall master

    Ahsanteni kwa mawazo yenu jaman, nimeappreciate sana.
  4. L

    Wall master

    kwenye gharama hiyo 150 ni sawa?
  5. L

    Wall master

    Nimeshaifahamu kuna baadhi ya nyumba nimeona zipo hivyo. Ninakushukuru sana. Ubarikiwe, siku njema.
  6. L

    Wall master

    Habari zenu wadau, Hii ni kwa wazoefu kwenye maswala ya ujenzi na mafundi wa kupaka nyumba rangi. Naombeni mnijuze hii wall master ni kitu gani na ina umuhimu gani? Manake nna quotation hapa ya vifaa vya rangi bei zake zimerange laki tatu mpaka laki sita. Bt hii wallmaster peke yake cost yake...
  7. L

    Fumanizi la aibu: Mke afumwa live kitandani

    Doh Kinyesi?? Sijawahi kujua! Kumbe Ukipata mshtuko muscles zinalegea!! Mambo yanatoka yenyewe tu!!
  8. L

    Watu wasiojulikana wameiba sanduku lenye chatu na kulitelekeza

    Kweli!! Hii hadithi ilikuwepo,Nimekumbuka mbali sana.
  9. L

    Sierra Secondary School Msasani yawa shule ya wasasambuaji

    Umeandika haraka sana, binafsi sijaelewa vizuri.
  10. L

    Tangu Ujiunge JamiiForums, Mpaka Sasa Umenufaika Kwa Lipi?

    Nimepata kijiwe cha kunipa kampan, habari, ujuzi, maarifa... Yan a lot of things. Jf lives on my blood yan siwez kupitisha siku bila kuingia humu despite of kuwa na udhaifu wa kutupia post humu.
  11. L

    msaada: contacts kwenye HTC One

    Thanks, nimejaribu kufungua ile link bt haifunguki. Labda unipe the other alternative.
  12. L

    msaada: contacts kwenye HTC One

    Habari za zenu wakuu, Tafadhali mwenye kujua jinsi ya kuview contact zote kwenye HTC anielekeze. Manake kuna namba nyingi za watu nishasevu bt nikitaka kuwapigia sizioni kwenye phone book, ila wao wakinipigia majina yana display. Sasa sielewi hizi namba zinakuwa zimejisave wapi?! Msaada...
  13. L

    Mtoto HAWA MOHAMMED atoweka na kitita cha 93 000/=

    Jaman! Kitita cha elfu tisini na tatu? Ukisikia mbalagha(hyperbole) ndo kama hii sasa.
  14. L

    Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

    BATTLE FIELD OF THE MIND by Joyce Meyer. Hiki kitabu kimefanyika msaada sana kwangu. Nilikuwa mtu we kukata tamaa mapema sana na akili yangu ilijawa na negative thinking also I had a doubtful and confused mind. But baada ya kusoma hiki kitabu nimekuwa Hutu sana. Please and please kama una hali...
Back
Top Bottom