unaona hilo nalo ni ajabu... WAAJABU NI WEWE UNAEONA KITU AMBACHO SI CHA AJABU KAMA CHA AJABU SANA KUMBE HAMNA KITU HAPO.
Maajabu ni usaili wa kazi kufanyika uwanja wa taifa... kitabu cha maajabu ya dunia kinampango wa kuiingiza hii.
hakuna lolote, mi alinishika mara moja tu, niliposhika pen nikabaini mbinu zake, list anayoleta mwanzoni uchague ni tofauti kabisa na list anayoleta mwishoni kama majibu! so yoyote utakayoichagua haiwezi kujirudia!

eleze utoto wake mkuu..me bado cjakuelwa..
sasa cha muhimu ni maua au ni aina ya karata labda Q,K ya kopa au kisu n.k..nisaidie zaidi niweze kujua tafadhaliAngalia set ya kwanza ya cards unazopewa,nakiri maua yake na herufi zake..alafu angalia hiyo incomplete set unayopewa mwishoni.
Utagundua kwamba nitofauti kabisa na ile ya mwanzo.
unaona hilo nalo ni ajabu... WAAJABU NI WEWE UNAEONA KITU AMBACHO SI CHA AJABU KAMA CHA AJABU SANA KUMBE HAMNA KITU HAPO.
Maajabu ni usaili wa kazi kufanyika uwanja wa taifa... kitabu cha maajabu ya dunia kinampango wa kuiingiza hii.
kweli haya ni maajabu jamani sijawai kuona maajabu kama haya,duuuKama ulisha itizama sawa, ila mimi ndio nimeiona leo nikaona tu share pamoja!