jaffari yogo
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 685
- 148
Mtoto Hawa Mohammed aliyepotea kutoka Kenya na kupata hifadhi kwa mama mmoja mtaa wa Chiringe hapa Bunda aiba sh.93,000 na kutokomea kusikojulikana. Tukio hili lilitokea jana mchana.
Mtoto Hawa Mohammed aliyepotea kutoka Kenya na kupata hifadhi kwa mama mmoja mtaa wa Chiringe hapa Bunda aiba sh.93,000 na kutokomea kusikojulikana. Tukio hili lilitokea jana mchana.
siyo 95,000 tena mkuu,.
93,000/= tu!huyo hajui kutumia fursa vizuri.
Dah!! Mimi nilifikiri ni dolari, Kumbe ni Shilingi Elfu tisini na tatu tuu za kitanzania nazo ni kitita kumbe😕
93,000/= tu!huyo hajui kutumia fursa vizuri.
Hata Mimi nimekimbia nikijua ni madolari, kumbe ki.kwe.te! Eti kitita cha 93,000/=? Maisha yetu wa-Tz magumu sana!!
mkuu mbalagha(hyperbole) ndio nn,fafanua kidogo.Jaman! Kitita cha elfu tisini na tatu? Ukisikia mbalagha(hyperbole) ndo kama hii sasa.
Ndio huyu anayeongelewa hapa?
https://www.jamiiforums.com/habari-...0-mtoto-hawa-mohammed-wa-kenya-ameokotwa.html