Recent content by LOVED

  1. LOVED

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Haya ndo mapenzi yalivyo au?

    Mmmmmmmmmmmmmmm
  2. LOVED

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke hebu funguka uko upande upi...?

    walaaa unajua wakati mwingine ukiwa unawaza haya ma ndoa mara zote,,unaishia kukosa msimamo.Unajikeep bize tu mwisho unajikuta hujui uko ndani au uko nje
  3. LOVED

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Demu mpenda mafanikio/pesa

    Ndo maana miziki ya kizazi kipya inawahi kuchuja kama mistari ndo hii
  4. LOVED

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kina dada, kwani kuolewa ni lazima?

    Tumeumbwa tofauti Malezi tofauti Upeo tofauti Malengo tofauti Mapito tofauti Matamanio tofauti Kuwahi au kuchelewa ni mental setting tu
  5. LOVED

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke wakuoa

    Utampata soon
  6. LOVED

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke hebu funguka uko upande upi...?

    :: Kuna wengine hatuko kokote =
  7. LOVED

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimependa moyo na ujasiri alionionyesha huyu dada

    Liwe fundisho
  8. LOVED

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niko serious

    Kuanzia 19 yrs? Labda fb
  9. LOVED

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Penda unapopendwa! Ushuhuda wangu.

    Madamu umejifunza nakuombea kheri umpate akupendae Umpende kwa dhati. Tunajifunza kwa makosa usijilaum sana
  10. LOVED

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi kitu gani?

    Mm! Raha yake upate anayejua
  11. LOVED

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume wa kula nae bata kesho

    Loo! Kweli maendeleo yana mengi
  12. LOVED

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maamuzi Magumu Kwa Niliyempenda!

    Meno ya mwanamke unayajua weye!! Ha ha angalia ohoo
  13. LOVED

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu tusiwe hivi....

    Wanakusikiaa?
  14. LOVED

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watu wooote duniani hajawaona, kaja kwako. Nini anachokupendea wewe?

    Bora mie sijapendwa
  15. LOVED

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania My ex anataka nimwazime hela!

    well said Tetra huyu anajisumbua tu Bado anampenda ex wake na hiyo ni real love, mpe tu bibie acha kubabaika na dunia..mpe mrudiane vizuri
Back
Top Bottom