Wanaume wenzangu tusiwe hivi....

Wanaume wenzangu tusiwe hivi....

hivi separation in tofauti gani na divorce? kihisia siyo kisheria.....
mi naona bora niwe divorced ili niendelee na mambo mengine, kuliko kujidanganya nipo ndani ya ndoa ambayo haipo

'Afu FP weweeeeee, we acha tu. That smile kills me:A S 39:
 
mnapeana space kila mtu apumuwe na kero za mwenzie,mkiona mmeshindwa kumissiana mnachukua divorce lakini kama mlikuwa mmechokana kihisia weeeeeeee mtakavyorukiana mkionana physically na mentally acha tu.

Mnapeana space kila mtu apumuwe maana kwamba kila mtu atoke na yule ampendaye ama sijakuelewa? Ngoja nikuulize swali Asnam, hivi kama kweli unampenda mumeo ama mshikaji wako anbaye mnakwaruzana kila kukicha, yaani kweli utaweza kumruhusu aende nje akapige miti kwa yeyote ampendaye bila wewe kuumia moyo kweli? Na wanawake mlivyokuwa na akili finyu, utakuja kukuta demu anayepigana miti na mshikaji wako anapita mtaani kwenu kwa makusudi na kanga za mafumbo kila kukicha ili akuumize moyo zaidi wakati before ilikuwa si kawaida yake kupita hapo.
 
Last edited by a moderator:

kupeana space sio kutoka na mtu mwingine bali kila mtu anampa mwenzake time mfano kama mlikuwa mnalala chumba kimoja unahamia kingine hicho ndo nakimaanisha.
 
Kafanya kosa la kitoto sana.
Kwanza kwa sababu yeyote ile hupaswi kumpigia nyumba ndogo uwapo home hata kama uko mwenyewe (Note: ni lazima jamaa ndo alimpigia kwa sababu yeye ndo alijua mkwewe anaenda bafuni).
Pili, hata kama mke alisikia hayo maneno jamaa alipaswa kukana futi mia na kuwa serious ghafla (U-serious wa kiume) na sio kutupiana maneno na mke.

Kuomba msamaha kwangu sio option, sitawahi kukiri hata iweje.
 
kazi ipo ngono ngono kila kukicha ni aibu sana kuwa kwenye ndoa huku ikiwaunafanya wizi nje ya ndoa
 
utamuona small house ni wa maana lakini ujue kwamba she is after money na kukuharibia familia yako ulo nayo., ukiona small house ni muhimu itambulishe kwa wife kama unajiamini. shit..
 
mmh!kama namuona
huyo mtt akilia maskini
wanaume badilikeni jamani!!!
mi ningemfanyizia abaki kung'aa sharubu
huyo baba!inaumiza atiii kushea dushelele!!!

kupeana space sio kutoka na mtu mwingine bali kila mtu anampa mwenzake time mfano kama mlikuwa mnalala chumba kimoja unahamia kingine hicho ndo nakimaanisha.

Sawa, lakini mkishafikia hatua hii there's no point ya kuishi pamoja kwa sababu hapa ndipo mtu anapochukua maamuzi bila kufikiri kwani utakuta wanaume wengi hutoka sana nje ya ndoa wanapopewa uhuru namna hii na kufanya hiki kuwa kisingizio chao. Howeever, nimekuelewa.
 
umeona eeeh!
mbona watu wangeumbuka!
mtu upo naye physically kumbe mwenzio anamuwaza mwingine!
kila akitabasamu unatabasamu back,
unadhani mpo in loooovvveeeeee, kumbe mwenzio anakuchora tu
Ukiwaza hivi nyumba inakuwa ya moto
 
bora tufunge ndoa ya kimila ili ijulikane muda wowote ataletwa mwenzangu lakini mambo ya kunipeleka madhabahuni halafu unaniletea vidumu unasema ni kitu cha kawaida sikupati kabisa,mke mmoja mume mmoja kufa na kuzikana,hayo mengine ni tamaa za kujiendekeza.
khaaa!mnaitana vidumu tena.Mtoto wa mwanamke mwenzio huyo.kosa sio lake, mumeo kamchokoza eti.
 
Kafanya kosa la kitoto sana.
Kwanza kwa sababu yeyote ile hupaswi kumpigia nyumba ndogo uwapo home hata kama uko mwenyewe (Note: ni lazima jamaa ndo alimpigia kwa sababu yeye ndo alijua mkwewe anaenda bafuni).
Pili, hata kama mke alisikia hayo maneno jamaa alipaswa kukana futi mia na kuwa serious ghafla (U-serious wa kiume) na sio kutupiana maneno na mke.

Kuomba msamaha kwangu sio option, sitawahi kukiri hata iweje.
Maneno ya wazoefu
 
Lol mliooa mna kazi!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
usife kwanza, michango yako hapa jf ni muhimu sana

Mbona itakuwa hasara kufa bila kukuona, si kama napinga kifo ila mhhhhhh, we acha tu. FP weweeee:A S 39:, we acha tu nikutafakari mpaka hapo nitakapokuona :A S cry:
 
Mbona itakuwa hasara kufa bila kukuona, si kama napinga kifo ila mhhhhhh, we acha tu. FP weweeee:A S 39:, we acha tu nikutafakari mpaka hapo nitakapokuona :A S cry:
ha haaa, yaani umenichekeshaaaaaaaaa....
haya endelea kunitafakari
 
Back
Top Bottom