Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,626
unanichoshaga ? dahUmejuaje kama nina mke?
unanichoshaga ? dahUmejuaje kama nina mke?
Kama alikuhudumia vizur wakat wa uhusiano wenu na mkaachana kwa amni c mbaya hata kumrudishia fadhira maana u never know mpaka akuambie anamatatizo uweza ikawa n ya kweli ma amekosa msaada kila sehemu ww ndio tegemeo lake la mwisho,mm ex kama akiwa na shida na uwezo ninao namsaidia kuwa ex haimaanish msaada ushindwe kumpa je ingekua n ofc umeenda kuomba kaz yeye mkubwa hapo je ungefurah akunyime kaz sababu kuu ikiwa ww ni ex wake!!!!?
We pokea cm yke tu, kwasababu hamkugomban, na ela mwazme km unayo
Kwa kuwa umesema uwezo wa kumwazima hiyo hela anayotaka unao, na kwa kuwa hamkugombana katika kuachana kwenu, basi unaweza kumwazima hiyo hela lakini kama alivyoshauri mmoja wa wanaJF hapa kwamba husimdai. Unaweza tu kumuuliza ni lini atakurudishia, akishataja tu mpatie hiyo hela na kumsisitiza kuzirudisha hata ikibidi kidogokidogo. Ila ukishampatia kauka uone atarudisha ama la!
Asiporudisha, jua kwamba alikuwa anatafuta gear ya kukurudia kiaina, hivyo kaa mbali sana naye kuanzia hapo. asante kwa ushauri wako!