Maamuzi Magumu Kwa Niliyempenda!

Maamuzi Magumu Kwa Niliyempenda!

kwikwikwikwikwikwikwi hahahahahahaha tehtehtehtehtehteh uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii hii ndoa natamani nishuhudie kwa macho.:smile-big::smile-big::smile-big:
 
Unaishi karne ipi mkuu?
Nina wasiwasi utakua na elements za uchawi kama sio ushirikina.
Maneno uliyoyatumia ni kama yale watumiayo wapiga ramli na waaguzi.
Huwezi kumlazimisha mtu kuoa wala kuolewa isipokua kwa matakwa yake.
 
Mh!! hii kiboko, mwenzio juzi tu yamenikuta kama haya na mpaka sasa naendelea kuuguza kidonda, ila huu uwamuzi wako unaotaka kufanya kiongozi mh!! hii kali ya mwaka aisee[ ilikuaje jombaaa!
 
Kwa lazima tena! fikiri tena usijimwagie ----- mwenyewe...unawaoa kwa ridha na BP tele seuze kwa lazima...
 
Kuwa na fikra hai kaka......halafu akiwa mkeo then anajichanganya nje!!!!
 
Hello jf Nadhani muwazima wa afya,kabla ya yote natanguliza shukrani kwa waliomiza vichwa na leo jf imekuwepo! Mimi ni kijana mchapakazi! kama kawaida ya binadam kupenda nako ni sehemu ya maisha,Tangu nikue kiakili na kimwili nimewahi kuwa na mahusiano na wasichana wasipungua wanne,katika hao wote nimelala nao kwa maana ya mapenzi lakini sikutarajia kuoa hata mmoja wao! Siku za hv karibuni nimetokea kumpenda mdada m1 na kumweleza hsia zangu juu yake,naye bila hyana alikubal japokuwa sijafanya naye kitu chochote! Sasa kilichonishangaza leo ananiambia hajakubaliana na mimi! Akasema ilikuwa utani! Na mimi sitaki kumpoteza,nataka awe mke wangu. Lakin yeye hatak hata kusikia! Uamuzi nitakaochua sidhan kama wanatetea haki za binadam watakubaliana mimi. Kwani nimepanga kumuoa kwa nguvu halafu tutajuana badae!





Nice, :A S 12:
 
yani imebidi nicheke...mtoa mada umeniwacha hoi
 
hahahhahahhaha mbavu zangu kweli habari ziwafikie
 
Aisee...wee kiboko. Ungekua ni mwanamke ungesingizia una mimba yake lakini kwa mwanaume...labda singizia katoa mimba yako ukamshtaki....hahah.....!!
 
Aisee...wee kiboko. Ungekua ni mwanamke ungesingizia una mimba yake lakini kwa mwanaume...labda singizia katoa mimba yako ukamshtaki....hahah.....!!

Hebu subiri kwanza!!
Nadhani nimewahi sikia sehem kua mkiishi kinyumba wiki kadhaa ni wanandoa halali kisheria...kwanini usiwaone wanasheria alafu upige zengwe la kuwa nae close alafu unapiga na vipicha vya pamoja vyenye dates ili iwe evidance atakapo mburuta kwa mabalaza ya ndoa.
 
Kaka mapenzi ni taratibu, nenda hatua kwa hatua. Muonyeshe ni namna gani unampenda na kumjali ili aweze hisi kuwa kukupoteza wewe ni kupoteza kitu cha thamani sana. Inawezekana mna-compete na mtu fulani hivyo tumia penzi la dhati kuwa nguzo yako, mfanye aamini kuwa kukupoteza wewe kwa sababu ya competitor wako (kama yupo) ni sawa na kupoteza dhahabu huku akiwa buzy kukusanya mawe ambaye ni worthless. Atakukubali tu.
 
Hii sifa ya kupiga begani ilikuwa sana kwa wachaga. Kama mtu umesoma shule za moshi miaka ya 70s na 80s ndiyo ilikuwa mtindo. Ila nashangaa wanaishi tu maana ilikuwa mwiko kurudi kwenu ukishalala kwa mwanaume. Sasa na wewe 2010s unataka kubeba kwa nguvu!!! Ukitaka kwa nguvu ataondoka kwa nguvu!! Be ware!
 
Back
Top Bottom