Recent content by love you

  1. love you

    Mmh !! Nimemaliza mtihani wa kwanza ila huu sasa !!

    Hapo mmoja ajishushe tu Hamna namna..la sivyo ugomvi hautaisha milele Na wakujishusha ni mkeo..
  2. love you

    Kama ni viuno kateni, kama ni mapenzi jifunzeni bila kuogopa wala hofu

    Mstari wa mwisho umenifurahisha.."Mapenzi ni hisia" kama huna hisia jitegemee. Japo sijajua umemaanisha nini.
  3. love you

    Baadhi ya wanaume mnafurahisha sana

    [emoji3] [emoji3] wanaume mkuje mtueleze ni kwa nini hii taarifa hamuizoei ?? Nina shoga yangu juzi alimwamibia mumewe kua ana mimba mwanaume alifoka utazan kampa mwanafunzi mimba.. Mna nini lakini Sent using Jamii Forums mobile app
  4. love you

    Anadai ana mtu wake, naushindaje huu mtihani?

    Usivunjike moyo mwaya..kusema ana mtu wake ni gia tu ukikaza atakubali tu . We ulitaka akujibuje asante Mungu we ndio nlikua nakusubir MPE muda jenga naye urafiki kwanza usisahau kuleta mrejesho Sent using Jamii Forums mobile app
  5. love you

    Dada zangu jifunzeni kwa huyu mwenzenu

    Asante kwa ushaur..kunyamaza nalo ni jibu.. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. love you

    Nyimbo za kuingilia kwenye harusi 2019

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] mwenye Uzi atakoma ..sio kwa nyimbo hizo mnazo mchagulia Muoneeni huruma jamani Sent using Jamii Forums mobile app
  7. love you

    Kama ni chaga basi mimi nimepewa na kitanda chake

    Aliye soma hadi mwisho naomba summary.. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. love you

    Wadada Wazuri hawajui kuvaa Vizuri

    Weka picha ili tuweze tofautisha uzuri na urembo.. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. love you

    Mtoto wa Kim Kardashian apata rafiki wa kiume

    Mmmmh..!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  10. love you

    Malezi ya mtoto wa kiume magumu sana kuliko wa kike sikuhizi

    Kweli mkuu..nowadays mambo yamebadilika sana mtoto wakiume niwakufatilia hapo mgongoni kama wa kike.. Kwa sasa swala la malezi ni gumu kwa watoto wa jinsia zote Enzi hizo MTU akiwa na madume tu wala hana stress Sent using Jamii Forums mobile app
  11. love you

    Tabia ya wanaume kutuma rafiki zao watongoze wachumba wao ili kupima uaminifu wao yamtokea puani mwanaume mmoja huko Zambia

    Hasira Ilizidi..akaona km mbwai na iwe mbwai[emoji23] [emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  12. love you

    Tabia ya wanaume kutuma rafiki zao watongoze wachumba wao ili kupima uaminifu wao yamtokea puani mwanaume mmoja huko Zambia

    [emoji23] [emoji23] huhuhuuuu..jamaa chizi kweli kakutana na kiboko yake na mimba juu.. Na wala hajutii.. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. love you

    Dushe langu ni below angle 30degree, maarufu kama kikunio

    Thank you.. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. love you

    Dushe langu ni below angle 30degree, maarufu kama kikunio

    Nzuri... Sent using Jamii Forums mobile app
  15. love you

    Dushe langu ni below angle 30degree, maarufu kama kikunio

    Umelipia tangazo mkuu.. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom