Si kweli nabishana na wewe ; hatutaki mtu mwenye dharau na kujifanya matawi ya juu ; kwa hayo hafai kuwa kiongozi zaidi hata huko bumbuli hawamtamani wanajutaaa
Kweli aiseh ila pia haikuwa na haja kuchanganya kiswahili na kiingereza mkuu; halafu usijifanye mbabe kubali kosa ujisahishe kwani nina uwezo wa kukusababishia utolewe humu kabisa
Napenda zaidi nitumie njia za asili za kuhesabu kalenda ila kuna kipindi nasahau nihesabu vip; naomba msaada wa jinsi ya kuhesabu kalenda ; ila huwa menstrual yangu iko irregular
Mdogo wangu kamaliza mwaka huu form six hajachaguliwa bado kwnd jeshini hvy anajipanga na chuo; amesomea PGM ; nataka kujuzwa chuo wanaanza lini process za admission? Na je mambo ya mkopo yakoje kama atataka kusoma nje? Kwan anapenda kusomea urubani ila ikitokea hajachaguliwa kwny hyo faculty je...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.