Kwani mnapotembea mnahubiri mama, mama, maama ....
Kuna mtu anayekula mama hapa?
Wanao raise kama hii ni wale vijana wajinga wasiojua umuhimu wa katiba kwenye kuuleta huo ugali mezani
Hakuna mtu anayepambana na wakoloni kwa sasa,
Kiufupi unamaanisha ccm wanakwamisha utawala wa kidemokrasia na wanaweza kuwa waasisi wa utawala wa machafuko tunakoelekea huko mbeleni!
Ni vizuri kuweka rejea ya kilichosemwa.
Lakini pia jamii kubwa ya watanzania kwa sasa imewachoka chama cha mapinduzi kwa upumbavu wenu na dharau zenu nyingi.
Mmewadharau watanzania kwa miaka mingi, mwenyezi Mungu aendelee kuwamiminia vitasa vya mateso hata mwisho wa dahali. na mlaaniwe na...
Hii ni miongoni mwa hoja ambayo wanufaika waliileta tu kwa manufaa yao binafsi, pengine ili kada fulani ipate pa kula.
Maana ikiwa saini yao inathibitisha uhalali wa cheti, mwanasheria ana utaalamu gani wa kujua cheti feki au halali?
Amini Usiamini, Hayo uliyoyaorodhesha ni Matokeo ya mabaya yaliyopandwa na waovu, Unajua kwa nini vitabu vya Dini Bwana ni Mtu wa vita? Kuandikwa ni Mfalme wa amani tu ni jambo moja vipi kuhusu vita?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.