Lengo la interview, ni kupunguza watu ili kupata wachache ambao wataweza kupewa kazi husika.
Hivyo basi, ni wajibu kwa anaefanyiwa usaili kujiepusha na sababu ndogo ndogo ikiwemo, mavazi, muda wa kufika, kufuata maelekezo. Otherwise usimlaumu mtu, hivi vitu ni known.
Mafundi ujenzi wa hapa Bongo tuna cha kujifunza hapa. I can't imagine Kama hizo dhahabu zingeonekana na Mafundi wa kibongo😂😂😂 sijui Saidia fundi angepata kiasi gan😂
Kama ni Tatizo litakua ni afya ya akili, basi wampeleke sehem husika kwajili ya matibabu.
Ila Kama ishu ni ya USHIRIKINA, dah inasikitisha sana. Tupo kwenye giza, hivi kama mganga anaweza kuwapa watu utajiri, si ajipe yeye kwanza na ndugu zake. Utasikia eti ooh mganga hajigangi 🚮
Alisikika mmoja akisema
"kama hunionei huruma mimi, basi wahurumie wale wanao nitegemea"
Yule yule mnaecheka wote anaamua kuvaa miwani ya mbao, kisha ankutendea ubaya. So sad😬
"Usifanye maamuzi ukiwa na njaa"
Bwashee, Hofu yangu ni kwamba huenda ukaenda kuoa kwenye royal family, halafu end of the day ukageuka kua mtumwa, huna maamuzi, huna final say😎. Kila kitu utakua unasema ngoja nimshrikishe mamtu🙄
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.