Recent content by longola

  1. longola

    JamiiForums Tanzania Fundi Umeme na Jamaa wa TANESCO nani yupo sahihi?

    Jibu swali la watu kwanza
  2. longola

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usikurupuke kuingia kwenye ndoa...

    Kweli kabisa Kaka ndoa ina majukumu mengi sana. Tena yanayoongezeka siku hadi siku. Ukishakua financial stable(simaanishi uwe tajiri sana) ie. Una uwezo kutimiza majukumu kama mume na baba wa familia ndio unaweza kuoa. Mwanamke atakuvumilia lakn inategemeana na mtu na mtu. Mwingine ukimwambia...
  3. longola

    JamiiForums Tanzania Dawa/njia gani inatibu vipele vya ndevu vinavyosababishwa na kunyoa?

    Kingine usipende kushare mashine za kunyolea. Nunua ya kwako. Kuna magonjwa ya ngozi yanakujaga kwa kushare hizi mashine coz huku mitaani hawajui vizuri namna ya kusterilize zile mashine kabla ya kumnyolea mtu mwingine
  4. longola

    JamiiForums Tanzania Dawa/njia gani inatibu vipele vya ndevu vinavyosababishwa na kunyoa?

    Paka limao siku 7 baada ya kunyoa .. usiku kabla ya kulala paka then unapolala nawa uso wako vizuri utaona vipele vinavyopukutika. Mm kwa sababu ya usomi wangu nilidharau mambo ya limao. Nikanunua mavipodozi ya pesa nyingi na wala hayakunisaidia. Nilipona kwa limao la 200...
  5. longola

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa kukokotoa mahesabu ya duka

    Tumia SMART MAUZO APP ni nzuri sana. Inaonyesha mauzo yako ya siku, faida yako uliyoipata(daily profit) , inaonyesha stock uliyonayo of which ni ngumu mtu kukuibia maana bidhaa zinauzwa kwa system. Ina weka rekodi nzuri sana za biashara. Ila malipo yake ni efu 10 kwa mwwzi kwa standard...
  6. longola

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Mke wangu mtarajiwa anawasiliana na ex wake, nifanyeje?

    Mapenzi ni upofu, mapenzi ni kama ulevi wa hisia, mapenzi yanatesa moyo. Mm naelewa hali yako mkuu lakni ww ni mwanaume, fanya maamuzi magumu kwa kutumia AKILI yako usitumie HISIA. Huyo mwanamke ni wazi hayuko committed kua na ww, bado anampenda EX wake, Ww amekufanya daraja la kutuliza maumivu...
  7. longola

    JamiiForums Tanzania Ipo Engine bora ya Canter 4D 33, 4D 34 au 4D 35?

    Asantee mkuu... 4D 33 inaonekana imekaa vizuri.. hiv ukifunga unaeza miaka mingap kabla ya kuipiga overhaul ??
  8. longola

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Maeneo yatakayoiangusha Simba SC kuchukua Kombe la FA, NBCPL na Ngao

    Asante mwanayanga kwa uchambuzi wa timu yetu ya simba[emoji2][emoji2][emoji2] endelea kuishi kwa kukariri
  9. longola

    JamiiForums Tanzania Ipo Engine bora ya Canter 4D 33, 4D 34 au 4D 35?

    Habarini Wakuu na wajuzi wa mambo, mafundi wazoefu na wamiliki wa malori. Naomba kujua kati ya izo engine za mistubishi canter: 1.4D 33 2.4D 34 3.4D 35 Ipi ni bora kwa canter mayai ton 3.5 interms of cost of maintenance, service, running cost, fuel consumption, optimal performance, power...
  10. longola

    JamiiForums Tanzania Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Mkuu hawa watu ni trusted. Huku bei rahisi nataka niagize mzigo wa kuuza mtaani
  11. longola

    JamiiForums Tanzania Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Zinakua na alama gan mkuu
  12. longola

    JamiiForums Tanzania Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Naona pale wanalist maashiping agent ambao siwajui.. kuna namna ya kuwaweka unaowataka?
  13. longola

    JamiiForums Tanzania Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Habari wakuu. Naomba muongozo wa kununua vitu Alibaba. Pia kingine kinanichanganya ni pale shipping inakua very expensive compared na bei ya bidhaa, pia hapo naomba msaada wa kupata cheaper shipping agent.
  14. longola

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tabia Zinazomfanya Mwanamke Awe Na Hisia Nawe Zaidi, Akupende Na Mdumu

    Cha msiingi pesa wachana na io magazeti[emoji2][emoji2]
Back
Top Bottom