Recent content by lonelywolf

  1. lonelywolf

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kilichotokea kwa Aziz Ki kimenifanya niamini kuwa asilimia kubwa ya wanawake wa kibongo wanatumia ndumba kwenye mahusiano

    Acheni makasiriio tafuteni Hela kutwa kudiscuss maisha ya watu ukute hapo ulipo hata bando la kuingua jf umekopa songesha wanaume wa bongo mna shida sana mbona wazungu hawana mambo hayo ndio maan wanaendelea mfano mzuri raisi wa ufaransa mbona ameoa kibibi kabisa hata mwanae wa kambo ni mkubwa...
  2. lonelywolf

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz kutumbuiza katika Hafla ya Ugawaji Tuzo za CAF, Desemba 16 Morocco

    Ulitaka a perform nyimbo Gani sasa.
  3. lonelywolf

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanawake wengi wakiwa mabinti (19-24 years), wanachagua ku-date na wanaume wa hovyo?

    Kwenye akili zao wanawaza kukamuliwa tuu c unajua tena show za mla ganja full vibe. Wanapataga akili za maisha wakifa kwenye 30+ hapo ndio utakuta Ana watoto wawili halafu matunzo hamna ndio mwendo wa kwenda kanisani kutafuta mme.
  4. lonelywolf

    JamiiForums Tanzania Kuwa makini na hii scam

    Wakituma message waananza na "Hi" Sasa jichanganye uwajibu. Mbona utaelewa tu.
  5. lonelywolf

    JamiiForums Tanzania Nimeunganisha DStv kwa mara ya kwanza leo

    Yap umeamua kuishi Kama pro[emoji817]
  6. lonelywolf

    JamiiForums Tanzania Mwamposa ni kopi halisi ya mwendazake TB Joshua

    Ni mwendo wa kuwafilisi mataira watu wanapiga pesa kiulaini duuh!
  7. lonelywolf

    JamiiForums Tanzania Simba ni mnyama mla ubuyu tu

    Ni hataree ngoja waje wazee[emoji16]
  8. lonelywolf

    JamiiForums Tanzania Naweza vipi kuishi Pasina kuyatilia sana Maanani haya Maisha?

    Maamuzi ndio maana halisi ya maisha, jinsi utakavyoamua ndio jinsi utakavyoishi. Be yourself bro! No one else will struggle for you do whatever makes you happy and be different.[emoji817][emoji123]
  9. lonelywolf

    JamiiForums Tanzania Gamboshi

    Tunaisubiri mkuu.
  10. lonelywolf

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maziwa ya mpenzi wangu yamelala sana nifanyaje, bado nampenda

    Ngoja waje
Back
Top Bottom