Too childish ivi mapenzi gani yakukufanya usikumbuke umuhimu wa kazi yako? Mwambie asubiri atakapofukuzwa kazi na kukimbiwa na mpenzi atuletee mrejesho
Mpendwa ndoa zinatafutwa kwaudi na uvumba we unachezea? Kaa na mmeo chini mwambie awajibike kuhudumia familia alaf huyo aliekuridhisha kitandani jua nae ana matatizi yake usijeruka majivu ukaangukia motoni
mbona nikawaida sana, mi nikitoka na my hubby anakawaida yakunibebea pochi wala hana tatizo, sema huyo dada hana adabu unampaje mtu pochi akubebee wakat c bf, wala hubby wake? hajitambui anakurupuka
dah, nampongeza mama huyo kwaupendo wakweli kwa mtoto, niwachache sana tulioumbiwa moyo huo, mpende, mheshimu, nae mungu atazidi kuibariki nyumba yenu daima
unaweza kuongea nammoja mmoja kuhusu uamuzi wake upoje iwapo mwenzake atataka warudiane, ukishasikia wazo lakila mmoja, unatafuta namna yakuwakutanisha ila hakikisha uwe umeshawaweka sawa, kama wanapendana hakuna kitakachoshindikana,naamini mungu wetu nimwema atakupa ujasiri nanjia...
sherehe muhimu kaka, yanini kuingia ndani kimya kama mwizi wakati nindoa halali? ebu mpe heshima mamawanao, mrs, mahabuba, mbona harusi hata ya milioni inawezekana, mnaandaa ndugu wapande zote mbili, na staffmates wenu basi mle, mfurahi kwa milioni tu, c lazima mamilioni bwana mpe heshima mwenzio
mwanamke kujenga home muhimu kabisa, usitegemee et mumeo ndo akakujengee kwenu utaaibika milele, hata hivyo sikuhizi me na ke wote wanawaza maendeleo, 2me nilijenga kwangu kwanza na mr. tupate angalau pakuficha mbavu, sasa ndo naendelea kwawazazi,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.