Kuna siku nilikuwa maeneo ya posta na demu angu akaniambia nimbebe nikampiga mgongoni hadi nilipo kuwa nimepaki gari sema alikuwa ni kidogo flani siyo kizito watu kibao full kupiga macho
mbona nikawaida sana, mi nikitoka na my hubby anakawaida yakunibebea pochi wala hana tatizo, sema huyo dada hana adabu unampaje mtu pochi akubebee wakat c bf, wala hubby wake? hajitambui anakurupuka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.