Recent content by lomayani saevie

  1. lomayani saevie

    JamiiForums Tanzania Watu maarufu duniani ambao ni waseja (Hawakuwahi kuoa wala kuolewa)

    -Michael Jackson -Opra Winfrey
  2. lomayani saevie

    JamiiForums Tanzania Kagera: Watoto 10 wamefariki na 6 kujeruhiwa baada ya shule Msingi Islamic Byamungu kuwaka moto

    Rest in peace children, inaumiza bado wadogo sana
  3. lomayani saevie

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Marekani walioathirika ubongo kutokana na shambulio la Iran wafikia 109

    Ngumu kumeza hii Sent using Jamii Forums mobile app
  4. lomayani saevie

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole ‘awashukia’ Kinana na Makamba

    Inasikitisha kwakweli Sent using Jamii Forums mobile app
  5. lomayani saevie

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wahaya na watu wa Kanda Ya Ziwa Victoria wana akili nyingi?

    Elimu elimu elimu. Mkuu Nyaru-sare rudi darasani, kasome historia ya wa-Bantu na historia ya wanilotics. Ndio uje uandike tena
  6. lomayani saevie

    JamiiForums Tanzania Rais Trump: Marekani itashambulia kwa nguvu na haraka sehemu 52 za Iran iwapo itagusa sehemu au Mmarekani katika kulipa kisasi

    Hamna kitu hapo, Iran hawezi lipiza kisasi haraka haraka hivi. Na itakapofika wakati wa Iran kulipiza kisasa hawezi yeye kama yeye kulipiza direct badala yake atavitumia vile vikosi vya kigaidi anavyovidhamini kuihujumu America Kwasasaivi Iran yupo kwenye temper ya ajabu na hawezi Fanya...
  7. lomayani saevie

    JamiiForums Tanzania Saudi Arabia, Iran katika meza ya mazungumzo

    Yawezekana, ila kama unaweza ongezea nyama ongezea kidogo zaidi Nina shauku ya kujua zaidi Mkuu Asanteh!!
  8. lomayani saevie

    JamiiForums Tanzania Saudi Arabia, Iran katika meza ya mazungumzo

    Ukumbuke kunitag Mkuu, Nikutakie maandalizi swafi Sent using Jamii Forums mobile app
  9. lomayani saevie

    JamiiForums Tanzania Saudi Arabia, Iran katika meza ya mazungumzo

    Mwenye kufahamu, kwanini Pakistan akumbani na vizingiti vya kumiliki nyuklia ??? Tukiangalia Kwa Jirani Yake Iran au Korea ya kaskasini ni tofauti kidogo, Mwenye kujua anijuze jaman wakuu!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  10. lomayani saevie

    JamiiForums Tanzania Saudi Arabia, Iran katika meza ya mazungumzo

    Tatizo lipo kwenye ushawishi ndani ya mashariki ya kati, Nani atakubali ushawishi wa mwenzake ushamiri katika himaya Yake au Kwa wafuasi wake!! Je saud Arabia atakubali ushia upenyezwe kwenye himaya zake au Iran atakubali usuni ushamiri katika himaya na ngome zake nje na ndani ya Iran?? Hapo...
  11. lomayani saevie

    JamiiForums Tanzania Majina ya maeneo na maana zake

    Nairobi - (kimasai) "Engare Nairobi" = "maji ya baridi", Eldoret - (kimasai) "eldore" = "mawe ya mtoni"; Uasin Gishu - (kimasai) "Illwuasin-kishu" = "Boma za kimasai zenye ngombe wenye rangi(doti) tofauti tofauti" Nakuru - (kimasai) "Nakurro"= "eneo lenye upepo, vumbi pamoja na vidudu(larva...
  12. lomayani saevie

    JamiiForums Tanzania Jana nimetoa kipigo heavy kwa wajeda wawili, nipo nasubiri wajisombe tena waje!

    Hofu ikikuzidi kimbilia ubalozi wa Marekani[emoji23] [emoji23] [emoji23]
  13. lomayani saevie

    JamiiForums Tanzania Lawama kwa Wamasai, Waberbaig na Wakurya: Ukali wote huo walishindwaje kuzuia Wajerumani?

    Umeniwahi Mkuu, hata na Mimi nilitaka kumjibu hivi hivi. Kipindi hicho ni maarufu sana kwenye jamii za kimasai na wameru na pengine Kwa wachagga japo sina uhakika. Kwa kimasai kipindi hicho kinajulikana Kwa jina la *Emutai* kipindi hiko robo tatu ya wamasai pamoja na mifugo yao ilikufu, kuna...
  14. lomayani saevie

    JamiiForums Tanzania Karl Peters - baba wa taifa kihalisi?

    Tafiti zaidi zinaitajika, Pili kuna umuhimu wa kuiweka historia ya nchi yetu pamoja na dunia katika usawa. Itasaidia kuweka wazi mambo ya kihistoria, na ili kufanikisha hili hatuna budi kukwepa urangi(race), udini na upendeleo wowote ule wenye kutaka kupotosha hali halisi iliyokuwapo kipindi...
Back
Top Bottom