Nairobi - (kimasai) "Engare Nairobi" = "maji ya baridi",
Eldoret - (kimasai) "eldore" = "mawe ya mtoni";
Uasin Gishu - (kimasai) "Illwuasin-kishu" = "Boma za kimasai zenye ngombe wenye rangi(doti) tofauti tofauti"
Nakuru - (kimasai) "Nakurro"= "eneo lenye upepo, vumbi pamoja na vidudu(larva or maggots)vidogo vidogo ambavyo baadae huishia kuwa na mabawa ya kapaa"
Mt Kenya - (kimasai) "Oldonyo le-rukenya au Oldonyo ker(stripped mountain)" = "mlima wenye kilele cha ukungu au theluji kadhalika na kuzingirwa na mawingu Mara Kwa Mara"
Mara - (kimasai ) "Engare-Mara" = "maji ya mto yanayoneemesha wanyama na mimea na unapatikana kila sehemu ya eneo lote husika"
Oldonyo Sabuk - (kimasai) "Ol-donyo Sapuk" = "Mlima mkubwa"
Kajiado - (kimasai) "Ol-kejuado" = "tambarare yenye eneo refu sana"
Serengeti - (kimasai) "e-serenket au siringet" = "tambarare iliyo flati yenye kujawa na majani"
Amboseli - (kimasai) "Empusel" = "tambarare iliyo na uwazi"
Nyahururu - ( kimasai) "e-naiwurruwurr" = "waterfall(maporomoko ya maji)"
Naivasha - (kimasai) "e-naiposha" = " Ziwa(lake)"
Embakasi - (kimasai) "Em-pakasi" = "vimiti vilivyojiipanga kuelekea uelekeo wa mto"
Loliondo -(kimasai) "O-loliontoi" = "miti jamii ya loliondo"
Manyara - (kimasai) "emanyara" = "Palipo zungukwa vema kama Boma"
Mt Longonot - (kimasai) "Oloonong'ot" = "vimilima vya vikunjo kunjo".
Arusha - (kimasai) "larusa" = ...
Baadae ntaendelea Mda haunitoshi;
Sent using
Jamii Forums mobile app