Anatoka Lambo, Tarafa ya Ugweno, wilaya ya Mwanga, Mkoa wa Kilimanjaro. Baba yake aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya mwanga. Ni msomi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisa. Bora ungojee kiishe kuliko kulipa kabla. Kupiga namba zao ni kazi. Hakikisha una salio kubwa ktk simu kabla ya kuwapigia. Mwanzoni walikuwa wazuri. Sasa hivi ni ubabaishaji.
Ukilipia kifurushi kwa ajent hatoi risiti. Hata ukikwama huna pakulalamikia. Yamenikuta hapa Tanga.
Sent...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.