Maurice Moore
Senior Member
- Aug 22, 2018
- 189
- 310
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ha ha ha hii Hali usiombe ikukute, shawahi muomba dereva asimame mbuga ya wanyama, nilikuwa siwazi hata Kama Kuna Simba huko nje dadeki.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ha ha ha hii Hali usiombe ikukute, shawahi muomba dereva asimame mbuga ya wanyama, nilikuwa siwazi hata Kama Kuna Simba huko nje dadeki.
Du pole sana ndg yangu, sasa ulitokaje baada ya uharo porini?Nianze kwa kusema walaaniwe wahudumu wa isamilo ya mwanza to iringa walinibania mimi tumbo likiwa linanikata baraabara nilishuka nduli pale usiku mkubwa na wakaniacha hayawani wale nliharisha balaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha sio wewe kweli.. Gari ilikuwa Airforce, tumetokea Iringa[emoji28][emoji28][emoji28]Ha ha ha hii Hali usiombe ikukute, shawahi muomba dereva asimame mbuga ya wanyama, nilikuwa siwazi hata Kama Kuna Simba huko nje dadeki.
Umenikumbusha safari yangu ya kutoka arusha kuja dar kwenye Kilimanjaro bus sitaisahau ile safari acha niishie hapa tu
Mkiambiwa muache kula mahindi ya kuchemshwa na mayai hamtaki eti mnashindilia ili msisikie njaa njiani ona sasa yamekutokea puani...Wakuu kwema?
Ebana nilikuaga naskia tu watu wakilalamika kuchafukwa na matumbo wawapo safarini.
Sasa me yamenikuta last week nikiwa safarini toka mkoa fulani wa Kanda ya Ziwa kuja Dar, yani ilinibidi nishukie Singida ili kuepuka ile aibu ya kuwasumbua makondakta kwenda kuchimba dawa kila dakika.
Sitasahau ile siku asee niliharisha mpaka nikahisi utumbo nao umetoka , shukrani za pekee ziwaendee wale traffic police wa pale stand ya mkoa wa Singida kwa msaada walionipa na pia madaktari wa hospital ya mkoa wa Singida kwa kunipa huduma stahiki kwa wakati.
Kuna aliewahi kupata mkasa kama huu?
dawa yake ni ndogo sana unanunua Coca cola soda hii kidogo tuu unakunywa pamoja na chumvi unalamba kidogo inachukua dakika chache tuu kukata hii dawa wanaijua madereva wale wa masafa marefu tunawaita madereva wa UEFA wanaoenda Bulawayo au Harare na Congo na Mara nyingi unawakuta na chumvi kidogo ndani ya bus soda zipo tuu...huwezi kushuka kisa unaharisha utapewa hiyo dawa yao na safari unaendelea hii sio dawa ya kutumia nyumbani ni kwa ajili ya dharula tuu maana hatujui ukichanganya soda na chumvi huko tumboni kinachotokea...
Wewe stendi?mbona niko huko hamna viaziulikula kyepe cha shinyanga stendi nini?
Acha kabisa bus lilikuwa limefika kibaha ile safari sitaisahau mmPole sana yaan njis unavyozid kukaza ndo mambo yanazid kuharibka
Acha matunda, niamini utashukuru baadae! Biscuits zatosha.Dar To Dom, huwa dipendi kula safarini but siku hyo kufika moro nikachukua tambi na azam mult. ile tunaisaka dakawa tumbo likaanza starter, nikajipa moyo kama litazingua hata dumila nitaomba msaada..
but kufeel shy ile watu wanisubiti mimi tuu mikate gogo.
nikajipa hope naweza kukaza kaza kama hali mbayanitaomba msaada gairo.
but kama mwanzo nokakausha tena.
balaa la mabalaa ni muda tunaitafuta kibaigwa.
ni jasho linanitoka kila nikiangalia nje ya gari kila nyumba natamani iwe choo halafu naombea gari liharibike.
lakini wapi hali ilizidi kuwa mbaya kufika kibaigwa nilimuambia tuu dereva shusheni begi langu hali ya tumbo langu si nzuri na nikawaomba wasinisubiri maana kama nilijua.
nilijisaidia zaidi ya lisaa pale kwenye choo cha sheli ya kibaigwa. sintasahau aisee na nilikua nawahi harusi.
mpaka leo, sili chakula chakununua zaidi ya matunda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wewe ni mtoto au alieshindwa kusafiri akashukia Dodoma ni mtoto au nimekwambia umpe mtoto kwanza watoto si wana pampers hata akojie ajisaidie hakuna shida...Hizo kemiko mkubwa huko tumboni kama ni mtoto utumbo si utayeyuka
Hivi unajua mtoto ni kuanzia umri gani hadi ganiMkuu wewe ni mtoto au alieshindwa kusafiri akashukia Dodoma ni mtoto au nimekwambia umpe mtoto kwanza watoto si wana pampers hata akojie ajisaidie hakuna shida...
Hahahahaha....Niliwahi kukamatwa na tumbo morogoro wakati nakuja dar. Sikuwa na namna zaidi ya kuomba nikaharishe tuu.
Cha kutia moyo ni kwamba nyakati kama hizo aibu huondoka kabisaaaa, yani either uchague kujinyea ama uombe msaada[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]