Recent content by lol911

  1. L

    JamiiForums Tanzania Amini Usiamini, Nchi hizi zinaongoza kwa Ajira na Mishahara mizuri

    Yaani hauthamini uhai wako kiasi hiko ukilipuliwa kabla hata mshahara hujapokea, maana afazali ulipuliwe ufe kuliko ukakosa miguu na mikono utamlaumu nani? Na umasikini wa bongo. Mtawaletea matatizo ndugu zenu kuzoana mavi kwa kujitakia. Mkaanza kurudisha watu nyuma maisha yenyewe magumu.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Huyu dada hataki twende guest, anataka aje kwangu

    Kuwa mkweli kwa mpenzi wako sasa wewe unachoficha nini? Au unamke nyumbani hutaki afike? Kama anakupenda hatajali kama hauna kitandani au la. Anayofanya ni vizuri guest yeye kawa malaya? Au unataka onenight stand? Basi umueleze kama you are not into her.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mwenye nyumba kanipa siku mbili tu, la sivyo...

    Tatizo unaweza kuwa msanii
  4. L

    JamiiForums Tanzania Website ya Global publisher haiko hewani

    Kulikoni shigongo?
  5. L

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi na Escrow

    Huyo kila mtu ana beef nae, binadamu gani huyo she is so perfect.
  6. L

    JamiiForums Tanzania Nimeoa mwanamke ambaye hajishughulishi kitandani wala hataki nimshike

    Muonyeshe unampenda, uwe muelewa akiwa hajisikii, wakati mwingine wanaume si waelewa katika mambo ya kitandani siyo unamuuzi mtu alafu utegemee wakati wowote mambo yatakuwa safi mwanamke anakuwa tayari wakati wowote kaka have ndiyo hivyo.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Mdada uliyemnyoa mwenzio kwa kisu nakutafuta

    Huyo dada anatakiwa a dili na mume wake maana huyo ndiyo mwenye matatizo, mapenzi ni kama bahari uwezi kuzuia sana sana huyo mwanaume atazidisha. Hawataachana.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Kwa nini waafrika ni wagumu sana kuomba msamaha tofauti na watu wa nje ya bara la Afrika

    Watu wengi wanaokuomba msamaha ni wanafiki wanakuchekea halafu ukigeuka wanakuangamiza.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Diamond atanua na Diva tajiri East Africa nzima

    Mwenzake zari anaangalia maslahi,
  10. L

    JamiiForums Tanzania Diamond atanua na Diva tajiri East Africa nzima

    Ukweli lazima uwekwe wazi jamani, ukimwi tanzania ni mwingi, kila siku vijana wadogo wanakufa, sababu ya mambo kama hayo na huko Uganda napo hivyo hivyo, huo muda wa kupima afya zao wanao maana kila siku mara anatoka na wema, mara penny na sasa zari, umalaya mwingi ingawa hatupangii mtu jinsi...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Diamond atanua na Diva tajiri East Africa nzima

    Atumiage condom tuu
  12. L

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuondoa ujumbe wa "copy of window is not genuine" kwenye microsoft windows

    Window uliyonayo ni copy nunua genuine toka Microsoft wenyewe, au maduka yanayoeleweka na siyo kwa watu wa IT uchwala, kama utanunua ni ghali ndiyo Maana wengi twakimbilia copy. Next time kuepuka hilo tatizo nunua laptop au computer yenye window tayari.
  13. L

    JamiiForums Tanzania Gardner adaiwa kumpandisha Jide kortini

    Wamezaa
  14. L

    JamiiForums Tanzania Happiness watimanya anawakilisha tanzania miss world 2014

    Ok@hazel nitaangalia mkasi
Back
Top Bottom