Recent content by lokolee

  1. lokolee

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu msitume nauli

    Watapata wapi pesa tumeni nauli
  2. lokolee

    JamiiForums Tanzania Lowassa azidiwa na kuanguka nyumbani kwake Masaki

    Hujui chochote
  3. lokolee

    JamiiForums Tanzania Lowassa funguka kila kitu kuhusu Richmond, CCM wanapanga kukuanika

    Mwaga mboga (SSM) alafu huku kwetu tumwage ugali mnaloooooooooo hapa ni ukawa mwanzo mwisho
  4. lokolee

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kwafukuta mbaya, watoleana bastola

    Jamani hata vidole vyenu havina haya vinapo andika mambo yasiyo yamsingi chadema kuko shwari kama maji ya kwenye mtungi kama huna cha kusema nyamaza
  5. lokolee

    JamiiForums Tanzania Lowassa ataweza kampeni kweli?

    Unajua mtu anae juwa hana maneno mengi ila asiye jua anamaneno sio mchezo ndio maana wahenga wanasema debe tupu haliishi kelele ila lenye kitu limetulia tuli
  6. lokolee

    JamiiForums Tanzania CCM inataka kumwekea Lowassa pingamizi

    Lowassa ndio mgombea pekee anaeweza kumkemea mtu na akaskia maana hana njaa useme atapelekeshwa na wenye ela kiukweli lowassa anauwezo wakumwajibisha yeyote alie mbele yake kama kweli unafwatilia siasa lowassa alijiuzulu kutokana na position alio kuwa nayo so huwezi mpeka hovyo kama unavyo dhani...
  7. lokolee

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ipswich Astana Bate Coventry Swindon Leo hata ww ukiweka hizo team zote lazima zishinde hamna shaka
  8. lokolee

    JamiiForums Tanzania Mgawanyo Rasmi wa Majimbo kwa vyama vinavyounda UKAWA

    Nimeupenda sana huo mgawanyo ukawa mko juu sana
  9. lokolee

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Geita mjini na Serengeti ni mali ya CHADEMA

    Jamani nyie CUF na NCCR kuweni na upole angalieni mtu anae kubalika
  10. lokolee

    JamiiForums Tanzania Updates kutoka Zanzibar: Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA

    Wanao tukana kuna kitu mnatafuta
  11. lokolee

    JamiiForums Tanzania Updates kutoka Zanzibar: Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA

    Safari ya uhakika hiyo hakuna mwenye ubishi
Back
Top Bottom