CHADEMA kwafukuta mbaya, watoleana bastola

CHADEMA kwafukuta mbaya, watoleana bastola

Jamani hata vidole vyenu havina haya vinapo andika mambo yasiyo yamsingi chadema kuko shwari kama maji ya kwenye mtungi kama huna cha kusema nyamaza
 
ukishatulia uandike tena ulichokiona ili uelewe.

wabunge wa wawili wa chadema moshi vijijni?

mara redbrigade wa Antony Komu? hueleweki kwa kifupi.

lazima utakuwa umevuta bangi wewe. Ulicho andika hakieleweki! Bange noma sana
 
Halafu eti wewe ray jay ni kati ya vijana mnaoaminika CCM. Yaani hadi huruma. Sasa hapa umeandika nini? CHADEMA wana Mbunge au Wabunge Moshi Vijijini? Vijana kama nyinyi mnaondoa heshima ya vijana wote hata tusiokuwa wanasiasa.

Bure kabisa

Nawewe mbona ulishashusha hadhi ya wanasheria hapa tz
 
Last edited by a moderator:
Hizi ni habari muhimu sana zinaonyesha Chadema ni watu wa namna gani, hawa watu bure sana, hawafai kabisa tuwape majukumu mazito ya kuongoza taifa hili, jambo kidogo tu, bastola..
Ha ha Stroke kumbuka Igunga na Rage...mbona tuliwapa nchi? Nakumbushia tu kuweka historia sawa sawa! Tena yeye haukuwa mkutano wa ndani ulikuwa wa hadhara na akapanda jukwaani kuhutubia ni kile kijamaa kwenye mifuko yake ya suruali
 
Hizi ni habari muhimu sana zinaonyesha Chadema ni watu wa namna gani, hawa watu bure sana, hawafai kabisa tuwape majukumu mazito ya kuongoza taifa hili, jambo kidogo tu, bastola..

Na we umesadiki uongo wa kupika au umekurupuka kujibu bila kudadisi?
 
Hali ni tete, wabunge wawili wa Moshi vijijini wanatunishiana misuli, wa CHADEMA na Katibu wa CHADEMA mkoa amekula kichapo mbaya na redbrigade walioletwa na Komu ametoa pistol akitishia wagombea huko Kibosho baada ya polisi kuingilia kati.

Sorry picha za pistol sina, maana nilikua mkutano wa mgombea wa upande mwingine nilivyokua naenda huko watu wakawa wamesambaratika wanarudi kwa mgombea wa pili yaani kama maigizo vile.

tafuta picha google uweke...
 
Weka ka clip basi kama yule bwana waziri wa cccm aliye mtandika mtu makonde kinyani nyani na yule bwana speaker aliye tandika mtu bakora . Uzushi na fitna hazina mashiko kwetu watanzania
 
Tulieni nyie. Mbona ccm kule Kongwa bwana Job Ndugai na wenzake mmakumbuka kilichotokea aibu tupu. CDM KAZI tu ccc wameshalala doro
 
Walijuwa baada ya mgawanyo wa majimbo kutangazwa ndio ungekuwa mwisho wa ukawa, wanadhani ukawa wana pigania ulaji kama wao, walikuwa wanasubiri mastola na vichapo vya wenyewe kwa wenyewe nchi nzima, sasa baada ya kukosa hizo habari wameamua kuzitunga wenyewe potelea mbali
 
Hali ni tete, wabunge wawili wa Moshi vijijini wanatunishiana misuli, wa CHADEMA na Katibu wa CHADEMA mkoa amekula kichapo mbaya na redbrigade walioletwa na Komu ametoa pistol akitishia wagombea huko Kibosho baada ya polisi kuingilia kati.

Sorry picha za pistol sina, maana nilikuwa mkutano wa mgombea wa upande mwingine nilivyokuwa naenda huko watu wakawa wamesambaratika wanarudi kwa mgombea wa pili yaani kama maigizo vile.

Unakigugumizi nn wewe?
 
badili font, weka kwa pdf punguza presha, andika vizuri kama mtu aliye kwenda shule, una miliki smartphone ila kupangilia habari hujui, uza simu urudi shule
 
Hali ni tete, wabunge wawili wa Moshi vijijini wanatunishiana misuli, wa CHADEMA na Katibu wa CHADEMA mkoa amekula kichapo mbaya na redbrigade walioletwa na Komu ametoa pistol akitishia wagombea huko Kibosho baada ya polisi kuingilia kati.

Sorry picha za pistol sina, maana nilikuwa mkutano wa mgombea wa upande mwingine nilivyokuwa naenda huko watu wakawa wamesambaratika wanarudi kwa mgombea wa pili yaani kama maigizo vile.

Uandishi wa tukio ni shidaaa sana Mkuu.
Pole yako.
Kw kifupi, haueleweki nn? ulipenda kulihabarisha jukwaa letu..
 
mwanaume mmbeya mbeya huna hata aibu,utajaliwa
 
Nyani haoni .......,unaacha kufatilia ccm yako unajipendekeza kwa CDM kama umeipenda hamia unajishaua nn
 
Back
Top Bottom