Recent content by loketa joshua

  1. loketa joshua

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya udereva

    Njoo misenyi, nina trekta 3 hazina madreva. Kazi ni kusomba mawe na mchaga.
  2. loketa joshua

    JamiiForums Tanzania Makabila yenye lafudhi nzuri, mbaya na zinazochekesha?

    Umechemka hapo. Kwako mbaya lkn kwao iko poa sana.
  3. loketa joshua

    JamiiForums Tanzania Serikali imesitisha ajira zote na nyongeza za mishahara nchini

    Mada nzur sana yataka majadiliano kwa kina
  4. loketa joshua

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi/uwakala kote Tanzania

    Okay iko vizuri sana, nimetuma email
  5. loketa joshua

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Advertisement Officer

    0653511812
  6. loketa joshua

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli una ujasiri jukwaani tu

    Mh nimesoma hadi mwisho
  7. loketa joshua

    JamiiForums Tanzania Natafuta Meneja wa biashara

    Tembelea email yako mkuu.
  8. loketa joshua

    JamiiForums Tanzania Natafuta Meneja wa biashara

    Poa, tembelea email yako , ili nije. Sawa mkuu.
  9. loketa joshua

    JamiiForums Tanzania Natafuta Meneja wa biashara

    Tabora maeneo gani mkuu.
  10. loketa joshua

    JamiiForums Tanzania Natafuta Meneja wa biashara

    Tembelea email yako. Pengine watu washa apply.
  11. loketa joshua

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi 8 za kupata ajira popote ukiwa umemaliza chuo hizi hapa

    Ni muhanga wa post uliyopost. [emoji3][emoji3]
  12. loketa joshua

    JamiiForums Tanzania Professor Mtanzania kaajiriwa kama dereva Ubalozi wa Kenya Marekani

    Kupenda ugenini. Mhhhhhhhh
  13. loketa joshua

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

    Kwanza nakumbuka Ezekiel malongo akiwa studio. Mbwe mbwe kibao. Anatamka saa dakika hadi sekunde. Kweli. Mm huwa naburudika sana akiwa yeye hasa kipindi cha mchezo.
  14. loketa joshua

    JamiiForums Tanzania Kalangalala sec,Geita!

    we nenda 2 kapige kitabu, mambo mengine yatajipa yenyewe. Shule zote ni za bweni so ucogope
Back
Top Bottom