collinswilliam63
Member
- Oct 12, 2014
- 78
- 48
Habari Wanajamii,
Tunahitaji huduma ya Advertisement Officer ambae ana uwezo wa kutangaza bidhaa na pia mwenye lugha ya ushawishi ya biashara, mchapakazi, muaminifu na mbunifu. Ni kazi ya muda mfupi (wiki 1 - 2).
Awe ni kijana wa umri 18 – 25 na awe anapatikana Dar
Yeyote atakaekua tayari, naomba ANI PM namba yake ya simu then ntawasiliana nae