Baracah2001
Member
- Jun 11, 2016
- 8
- 5
Kilimo cha tumbaku,mihadarati,mirungi na bangiShughuli zako zinahusika na nini?
Biashara zipo kwenye attachment ila in summary ni Bakery,Bucher na Kiwanda cha unga (milling)Biashara zako zinahusika na nini?
Tabora mjimi.Tabora maeneo gani mkuu.
Tangazo linasema mshaara negotiable but competitive packagesMshahara wako ni kama ngapi unatoa,tupe round figure.