Nafasi za kazi/uwakala kote Tanzania

raslimali

JF-Expert Member
Nov 4, 2014
1,655
1,436
heri logo.jpg
Heri Africa Tours Ltd ni kampuni ya utalii yenye makao yake mjini Arusha. Katika jitihada zetu za kukuza utalii wa ndani, tunatafuta mawakala(sales people) kwa ajili ya kuuza safari za utalii wa ndani kwenye mbuga za wanyama kwa makundi mbalimbali wakiwemo maharusi (honeymoon/fungate), familia,wanafunzi wa shule na vyuo, wafanyakazi wa taasisi mbalimbali n.k.

Unatarajiwa kuwa na umri wa miaka 18 na kuendelea na umehitimu walao kidato cha nne, mwenye uwezo wa kutumia computer na internet,mwenye kutumia mtandao wowote wa kijamii hasa Facebook. Commission zetu ni nzuri sana.

Tuandikie email: marketing@heriafricatours.com, simu 0768734611,0786817145.
 
Nashukuru kwa waliopitia thread yangu.

Heri Africa Tours ni kampuni ya utalii inayolenga kuwa tofauti kidogo na kampuni zingine kwa kujikita pia kwenye utalii wa ndani (domestic tourism) ambao ni wa kuaminika zaidi.

Inasikitisha kuona mzungu anasafiri maelfu ya kilomita kuja kumuona Simba katika mazingira yake ya asili au vivutio vingine lakini hatuhimizi watu wetu wenyewe
kutembelea na kujifunza kuhusu utajiri wa asili wa Tanzania ambayo sasa ni ya pili kwa ubora wa vivutio hivyo duniani baada ya Brazil.

Tumeanza na kundi la honeymooners yaani wale wanaotaka kutembelea mbuga za
kaskazini ya Tanzania baada ya harusi. Tunatarajia pia kupata makundi
mengine kama wanafunzi wa vyuo, wafanyakazi wa makampuni n.k. Ukiwa kama
wakala wa mauzo kazi yako ni kuzinadi hizi program. Utapatiwa namba ya
uwakala ili kila atakayefanya booking uweze kupatiwa commission yako.

Unaweza kufanya shughuli hii kwa muda wako wa ziada na kupata kipato
kizuri.

Commission kwa booking moja ya honeymoon ni Sh. 200,000. Booking za makundi mengine commission yake itategemea idadi ya washiriki na aina ya malazi (camping, guest house,lodge) na aina ya usafiri (safari car/ bus).
 
mm sijaelewa kabisa ni bora uelezee hapa ili tuelewe malipo ya uwakala na hiy kazi ikoje

Nimejibu swali lako mkuu. Inaelekea wewe ni wedding planner kwa hiyo nadhani uko kwenye nafasi nzuri sana ya kushirikiana nasi kwa upande wa honeymoon tours maana una direct contact na maharusi.
 
rasilimali mimi nipo tayari nitafanya tu online maana nimeajiriwa nina neti full time.
so ili unichukue unaitaji nini?
 
Sawa. Nitumie email yako nitakutumia namba ya uwakala pamoja na programs zenyewe.
 
Nimkekuelewa nitakutumia email ndugu.

Nashukuru kwa waliopitia thread yangu.

Heri Africa Tours ni kampuni ya utalii inayolenga kuwa tofauti kidogo na kampuni zingine kwa kujikita pia kwenye utalii wa ndani (domestic tourism) ambao ni wa kuaminika zaidi.

Inasikitisha kuona mzungu anasafiri maelfu ya kilomita kuja kumuona Simba katika mazingira yake ya asili au vivutio vingine lakini hatuhimizi watu wetu wenyewe
kutembelea na kujifunza kuhusu utajiri wa asili wa Tanzania ambayo sasa ni ya pili kwa ubora wa vivutio hivyo duniani baada ya Brazil.

Tumeanza na kundi la honeymooners yaani wale wanaotaka kutembelea mbuga za
kaskazini ya Tanzania baada ya harusi. Tunatarajia pia kupata makundi
mengine kama wanafunzi wa vyuo, wafanyakazi wa makampuni n.k. Ukiwa kama
wakala wa mauzo kazi yako ni kuzinadi hizi program. Utapatiwa namba ya
uwakala ili kila atakayefanya booking uweze kupatiwa commission yako.

Unaweza kufanya shughuli hii kwa muda wako wa ziada na kupata kipato
kizuri.

Commission kwa booking moja ya honeymoon ni Sh. 200,000. Booking za makundi mengine commission yake itategemea idadi ya washiriki na aina ya malazi (camping, guest house,lodge) na aina ya usafiri (safari car/ bus).
 
Heri Africa Tours Ltd ni kampuni ya utalii yenye makao yake mjini Arusha. Katika jitihada zetu za kukuza utalii wa ndani, tunatafuta mawakala(sales people) kwa ajili ya kuuza safari za utalii wa ndani kwenye mbuga za wanyama kwa makundi mbalimbali wakiwemo maharusi (honeymoon/fungate), familia,wanafunzi wa shule na vyuo, wafanyakazi wa taasisi mbalimbali n.k.

Unatarajiwa kuwa na umri wa miaka 18 na kuendelea na umehitimu walao kidato cha nne, mwenye uwezo wa kutumia computer na internet,mwenye kutumia mtandao wowote wa kijamii hasa Facebook. Commission zetu ni nzuri sana.

Tuandikie email: marketing@heriafricatours.com, simu 0768734611,0786817145.
Hapo kwenye kijani swali langu ni hili kwa sisi tusiokuwa na uwezo wa kutumia computer ila tuna uwezo wa kutumia vifaa vingine vya kielekitronic kama simu kutumia internet na mitandao mingine ya kijamii, itakuwaje hapo?
 
kama unaweza kufungua attachments za Word na PDF kwenye simu yako basi hamna shida. Nadhani zipo program za bure za Android kwa shughuli hiyo.
 
Mkuu am very interested in this issue, coz I sell used car so always on Internet, let me give it a shot.
Call/whatssap 0767328063
 
Mkuu mimi nipo zenji,jee nami nafaa kuwa wakala wenu?
Hlf nikimpata foreigner vipi hawezi kubook,yani ni lazima awe wa ndani tu,i.e pure tanzanian?
 
Back
Top Bottom