Recent content by logframes

  1. L

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yalaani dhamira ya Serikali kukataza Mikutano ya hadhara ya vyama vya Siasa

    Hao walioleta haki za binadamu huku Afrika unadhani wao wanazitekeleza 100%? Hayo mambo mawili juu yanaifanya nchi isonge mbele kwa maendeleo / yanarudisha nyuma maendeleo ya mwananchi?
  2. L

    JamiiForums Tanzania Why do the best people die so soon?

    You are absolute right in religious aspects ... Merry Christmas
  3. L

    JamiiForums Tanzania Why do the best people die so soon?

    You are absolutely right in philosophical aspects ...merry xmass
  4. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya wanawake hupendelea kufanya mapenzi gizani?

    Nuru huambatana na matendo mema ya utukufu kwa Mungu na wanadamu, Giza huambatana na shetani ibilisi mkuu wa huu ulimwengu....sidhani kama mkeo anaweza kupenda kufanya gizani tu wakati jamii inatambua mmeoana....Siyo sifa kutafuna haramu gizani halafu unajinadi kwa keyboard
  5. L

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanachama na mfanyakazi wa JamiiForums, Dotto Mnzava afariki dunia kwa ajali ya pikipiki

    Pole sana ! RIP Dotto...inauma kwa kweli
  6. L

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Afya Dkt. Kigwangalla afanya ziara ya kushtukiza kwa Dr. Mwaka

    Mnaomtetea Mwaka wakati hamjui ethics za hiyo kazi nawaita ni "wapuuzi kabisa" Msichukulie swala la afya ya binadam kama ya "nyumbu".... Punguzeni political emotions
  7. L

    JamiiForums Tanzania Nani rais mzigo kati ya awamu zote 5 tangu uhuru?

    No comment
  8. L

    JamiiForums Tanzania Charles Kitwanga ni msiri wa Dk. Magufuli

    Ndo maneno yenu hayo? Kujifanya kuwa mna perfect mind kukosoa kila kitu na majungu tu? One of the effect of drug abuse in your brain is loss of memory and mental capability, psych disorders ...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Charles Kitwanga ni msiri wa Dk. Magufuli

    Kwani uteuzi wa viti maalum chadema hamjauona? Nonsense topic
  10. L

    JamiiForums Tanzania Leo nimeenda Mlimani City kwa mara ya kwanza

    Unasema?
  11. L

    JamiiForums Tanzania Wana JamiiForums Mwanza Tukutane.....

    Ndo kaz yenyewe
  12. L

    JamiiForums Tanzania Kutoka Unguja: Simba S.C 5-2 Kimbunga F.C

    Simba sio saiz yetu...mi nahofia Azam tu kwenye ligi
  13. L

    JamiiForums Tanzania Kutoka Unguja: Simba S.C 5-2 Kimbunga F.C

    Simba tufungieni Azam ...sisi (Yanga) ninyi ni ndugu zetu. .msituangushe kwa hilo tupo nyuma yenu
  14. L

    JamiiForums Tanzania Wana JamiiForums Mwanza Tukutane.....

    Yaani pananukia ubeberu ( not capitalism) na huu msimu wa mbuz kuliwa pako ovyo mno
  15. L

    JamiiForums Tanzania Wana JamiiForums Mwanza Tukutane.....

    Njooni huku Igoma mnada wa Mbuzi hapa kijereshi
Back
Top Bottom