Wana JamiiForums Mwanza Tukutane.....

Wana JamiiForums Mwanza Tukutane.....

Unaonekana Tu! Hata Kuoga Ni Mpaka Ukamatwe, Pia Kama Uli Lelewa Na Kukulia Katka Mazingira Machafu Ni Ngumu Kuwa Msafi, Mi Ntakuwepo Vitunguu Usafi Kama Kawa

we kazi yako ya uzota hiyo unalipwa.. na wengi wanaoenda kufanya usafi ni wale choka mbaya katafuteni sifa huko eti kwenda kufanya kwendraaaaa
 
Njooni mabatini tusafishe mto kenge ili kupunguza mafuriko.
 
Mm nitaenda hospitali ya BUGANDO kufyeka nyasi na kufua mashuka ya wagonjwa
 
Sisi tutakuwa soko la mirongo baada ya usafi tumenunua mbuzi wa wili na bia kret nne, tukimaliza usafi tunasherekea Uhuru kama kawaida pale bambino bar.
 
ImageUploadedByJamiiForums1449252889.527294.jpg ImageUploadedByJamiiForums1449252889.527294.jpg
 
Back
Top Bottom