Na kama roho haifi, je, malaika pamoja na wadhambi wengine wanaanzaje kuchomwa moto, alafu wenyewe wametulia tu, wanakuangalia unavyowachoma?,
Kama roho haiwezi kufa au kuuliwa basi hatutakiwi kusema hakuna kitu kisichomshinda Mungu. Kwasababu Mungu Hana uwezo wa kuiua au kuiangamiza roho
Me nataka kuacha kuangalia porno tu. Yan kila nikianza challenge hazizidi 5 days, lazima nizame kwenye incognito tab.
Leo saa 6:00 usiku naanza upya kuhesabu, lazima nitoboe mwezi awamu hii
Kwahiyo Mungu sahivi amekaa kwenye kiti chake cha enzi, huku akisubiria tumjue, tumheshimu, tumtukuze, alafu anafurahi anapoona tunamtanguliza Kwa Kila jambo??
Swali la kizushi!!
Ikiwa Mungu atataka kutelemsha kitabu chake kingine, kwa lengo la kuwaunganisha wanadamu wote dunia nzima, unadhani atatumia njia Gani kutushushia hicho kitabu?
Je, inabidi tutumie vigezo Gani kuthibitisha kwamba hiki kitabu kimeshushwa na Mungu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.