Wazee humu ndani tusipeane ushauri kwa kukomoana, tutakuja kuuana mazee!

Chief Kumbyambya

JF-Expert Member
Jun 16, 2022
490
1,460
Wakulungwa nawasalimu wote kwa jina la upendo wa dhati.

Wazee kuna siku humu MMU nilikuwa napitia nyuzi mbali mbali za wadau kwa ajili ya kuona maisha upande mwingine yanakwendaje.

Sasa katika pitiapitia ya nyuzi kadhaa nikakutana na uzi wa mdau mmoja hivi akilalamika kwamba yeye mashine yake inazingua sana, yani kila akikutana na mwanamke kabla hajaingiza mashine kwenye uvungu mashine inalala.

Na hata siku hiyo akiotea kuingiza basi akipiga pampu mbili tu mashine inalala humo humo ndani ya uvungu na hakuna kitakachoendelea tena, hivyo jamaa akaja humu MMU kwa ajili ya kuomba ushauri pamoja na msaada wa namna gani aweze kuenjoy kama wengine.

Kama ilivyo kawaida ya MMU, wadau wakaanza kutiririsha komenti zenye ushauri mbalimbali kwa ajili ya kuokoa jahazi la mdau wetu humu lisizame. Basi na mimi nikawa very interested kusoma zile koment ili ikitokea na mimi yakanikuta basi nijue cha kufanya.

Nimepitia komenti weee, ghafla bin vuu nikakutana na komenti ya mdau flani. Akamshauri jamaa anunue ndizi mbivu pamoja na asali walau nusu lita kisha kila aamkapo asubuhi kabla ya kula kitu chochote amenye ndizi mbili ale. Kisha akimaliza ndizi achukue kijiko cha chakula achote asali vijiko viwili anywe. Afanye hivyo kila siku asubuhi na atakuja kumshukuru baadae.

Hii kauli ya “Utakuja kunishukuru baadae" ndiyo iliyonivutia zaidi. Nami nikasema hata kama sina hilo tatizo ngoja niijaribu tuone, maana kuna watu humu wanakomenti tu ili kujifurahisha. Baaasi bwana ile wiki juzi nikawa nafanya huo mchanganyiko kama mdau alivyoeleza, ile wiki ikaisha kimbembe kikaanza ile wiki ya kuanzia jumaatatubya tarehe 22.

Ebwanaeee, mashine ilisimama usiku kucha nikasema hii ni sababu ya uamkia blue monday alafu pia ni mshtuko wa sensa, mashine haijazoea kuhesabiwa ndiyo maana, basi hiyo siku ikapita. Jumaane sasa ya tarehe 23 napiga tu mswaki mashine ikaamka, wazee mashine ilisimama mpaka wale wadada wa sensa (walikuja wawili) mmoja akanyamaza kabisa wakati alikuja mchangamfu.

Na yule mwingine akaanza kuniuliza maswali kiuoga uoga kiasi kwamba lile swali la “je, umeoa au una mtoto hakuniuliza” na muda wote alikuwa anapiga chabo kiwizi wizi sehemu yangu ya zipu. Mimi najikaza tu, mara nikae mara nisimame mradi tu dudu itulie lakini mpaka wanaondoka nilikuwa bado katika hali hiyo.

Wazee hiyo hali imeendelea kiasi kwamba mpaka nikiwa kazini nimekaa napiga kazi mashine inaamka na haitulii hata kidogo mpaka naamua kwenda chooni huku nazuga kama nimeinama huku natembea nafunga kamba za kiatu kumbe nataka wasione hali yangu. Nikifika chooni naanza kupiga SQUARY kama 60 ndiyo dudu inatulia narudi tena ofisini.

Ila haipiti dakika mbili inaamka tena, natoka ofisini kwa mwendo ule ule tena wa kuinama naingia toi kupiga squart mpaka dudu itulie.

Sasa mdau ulietoa huu ushauri si tutakuja kuuana ndugu yangu? Hasa ukizingatia mimi bado nipo kwenye NoFap challenge.

Hii hali naituliza vipi wadau?

Tusikomoane wazee hii dunia tunapita tuu, ona sasa hivi nashindwa hata kupanda vyombo vya usafiri kama daladala au hata kutembea kwa miguu barabarani nashindwa, maana mashine ikiamka inaamka kweli kweli utafikiri inataka kutembea na haitulii hata niimwagie maji na barabarani hakuna hata sehemu ya kupigia squart. Mimi nitaishije sasa?

Narudia tena toeni ushauri ila tusikomoane mazee, hizi nyuzi wanasoma wachungaji mpaka mashehe sasa mkiwasababishia hali hii watashindwa kuendesha sala.
 
oy walete kati,sasa mtoa mada tuambie kabisa katika ndizi na asali biashara yako hapo IPI? aaah au ndio ile ya nusu Lita?
 
ushauri walitoa kwa mwenye jogoo haifanyi kazi,wewe umechukua ushauri usio kuhusu,umedandia mtumbwi wa vimbwengo
Tuombe radhi kwa kuleta taharuki jf
 
Back
Top Bottom