Yet reality is stranger than facts,the world is one big puppet show.there are the puppeteers,the puppets and those who watch the show and believe it to be true.
Hivi nyinyi mkishaokoka akili za kufanya reasoning ndo huwa mnazitupa kabisa.yani mtu achapiwe mkewe apewe na kesi ya ubakaji na achafuliwe magazetini alafu bado awe mpole?kisa huyo aliemfanyia hayo ni mtumishi wa mungu? Si ufa.l.a huo.kwani huyo mtumishi wa mungu sio binadamu.hebu weye ufanyiwe...
Teknology inaenda ikikua jamani pamoja na kwamba ni kweli wanatuibia lakini pia wanafanya kazi kubwa ili kuweza kutushawishi.hata magari kila mwaka wanatoa modeli mpyaa
Ikishindikana huna haja ya kuipeleka kwa fundi ukaliwa hela yako ni bora uiformat mwenyewe tu nimekutumia link ya jinsi ya kuformat ila hujasema ni galaxy duos ipi maana duos zipo nyingi so nime assume itakuwa s duos ingia hapa kwenye link upate maelekezo...
Hakikisha simu yako ipo connected to the internet ndo u log in kwa hyo acount yako ya gmail ulioitumia kusajilia play store.kwahyo kama kabla haikajiloki ilikuwa intanet connection ipo on na line yako ina vocha bas itakubali tu
Kauli za kimaskini hizo.hata mitume wa mwenyezi mungu walikuwa wanatafuta rizki na kufanya biashara.na wala hujaambiwa utumie muda wako wote kutafuta pesa na mali.na hakuna dini inayotukuza umaskini.hivi wote mkiwa maskini hizo zaka zitatolewa na nani
Vyombo vya habari bana yan kunavitu ukisoma kama hujawahi jionea mwenyewe unaamini asilimia mia.huo mji ndo kwanza unajengwa sasa unatagemea uchangamke tu haraka kiasi hicho.huku kuna miji kibao mizuri pengine kuliko hata miji ya marekani.kuna hong kong one of the best cities in the world,kuna...
Serikali ya tanzania ingekuwa inasheria kali kama za china pengine matatizo ya madawa yangepungua sana.huyu ni mmoja wa waathirika wa madawa ya kulevya hapa china.nlimkuta amekaa pembeni ya barabara hapa kitongoji cha xiaobei mjini guangzhou.kama mnavyomuona ameisha kabisa na kubaki mifupa...
Mie mtu akiniuliza swali hilo huwa nampa jibu fupi sana lakini lenye maana kubwa.
Ukitaka kufanya biashara yenye mafanikio "fanya kile ambacho unamapenzi nacho na una ujuzi nacho" the end.
Mfano mie namapenzi makubwa na ninauelewa mzuri na electronics so nmeamua kufanya biashara ya kuuza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.