Tuliambiwa ukioa tuachane na wazazi tuambatane na mke ila ni sisi wanaume ndiyo tunakaza kichwa...
Mwanaume /kijana ukiolea kwa wazazi hutaka uwe na mamlaka kamili kama bado unanizamu zile ulizofunzwa utotoni na siku mkiondoka hapo mkeo atakukalia sana kichwani
Kama bado ni mlinzi acha ujinga nenda GardaWorld Security hakikisha unapewa ule mkataba mkubwa . Watu wanafunga hadi 520 kwa mwezi na wanalala off duty . Na kama akili ipo vizuri ficha hivyo vyeti chini ya godoro, chukua night shift maana watoto wa mama hawazitaki linda usiku tuu kaka mchana...
Ni siku na masaa kadhaa sasa hii changamoto bado inaendea sana na nimejaribu kuwatumia email ila bado hakuna majibu kabisa..
Wenye uzoefu ukitaka kuverify cheti cha form four unatokaje hapa kama utakumbana na mkasa huu.. angalia pichani.
Haraka haraka haina baraka
Subira ya vuta heri
Simba mwenda pole ndiye mla nyama
Sasa wewe jifanye hauna haraka na maisha au unafanya vitu polepole uine kama haijala kwako
Kule kwenye kile kijitabu cha sura, sura kitabu.. niliona wadada wakitoa vilio kuwa wanaumia sana kwa sababu naniliuuu inakua juu zaidi kuliko isivyo kawaida na nikama mwanaume anamtwangio imara.. ila kama mwanaume ni mbabaishaji hawaumii wala hawasikii chochote zaidi ya kuweka tundu lingine rehani
Ndugu zangu...
Onyo kama siyo 18+ haikuhusu.
Katika hali isiyo ya kawaida zile video za zinazochochea watu kutunguana au kujitungua mpaka kufika mlima kilimanjaro, nimegundua hazina uhalisia wowote ule zaidi ya wanadamu kujiangamiza wenyewe kisaikolojia na kihisia kuhusu swala zima la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.