Comment yako inakera,
Kwani, kwa Tz idadi ya familia zinazomiliki magari inafikia hata 5%???
Hapo utaona katka hali ya kawaida, kama familia inauwezo wa kumiliki gari, atleast haina njaa sana kama zile zinazoishi chini ya 1USD kwa siku.
Kama umekulia dar unaona magari kila kona, Rudi kwenu...