Wakuu mi kwangu mkaa wa 1500 kwa siku ya natosha kupika, kuchemshia maji ya kunywa na mapishi kwa siku nzima halafu ges ambayo huwa natumia hii ya 30kg inamaliza wki 3 na sehemu na inauzwa 58,000, transport 2000 jumla 59,000
Sasa wakuu mkaa 1500x31= 46,500/=TZS vs 59,000 ungekuwa wewe ungenunua...