Gesi dhidi ya Mkaa, wewe ungenunua nini?

lkt

Member
Joined
Dec 9, 2022
Posts
18
Reaction score
20
Wakuu mi kwangu mkaa wa 1500 kwa siku ya natosha kupika, kuchemshia maji ya kunywa na mapishi kwa siku nzima halafu ges ambayo huwa natumia hii ya 30kg inamaliza wki 3 na sehemu na inauzwa 58,000, transport 2000 jumla 59,000

Sasa wakuu mkaa 1500x31= 46,500/=TZS vs 59,000 ungekuwa wewe ungenunua gesi kweli?

Swali la pili ni kweli serikali hii ina mkakati madhubuti wa kupambana na mazingira?
 
Swali la pili ni kweli serikali hii ina mkakati madhubuti wa kupambana na mazingira na
Gesi inasaidia kurahisisha katika kuokoa muda, mkaa unahitaji maandalizi katika kuuwasha. Sasa time is money mkaa una gharama zaidi ya Gasi
 
kwa kumanage time chukua gas labda kam wew una matumizi mengi ya gas au unapika maharage kwenye gas ndio maana inaisha haraka?Au muda mwingi unatumia ukiwa home na shughuli zako ni za nyumbani?Nadhani majibu unayo wewe so fanya uamuzi kulingana na matumizi yako
 
Wakuu mi kwangu mkaa wa 1500 kwa siku ya natosha kupika, kuchemshia maji ya kunywa na mapishi kwa siku nzima halafu ges ambayo huwa natumia hii ya 30kg inamaliza wki 3 na sehemu na inauzwa 58,000, transport 2000 jumla 59,000

Sasa wakuu mkaa 1500x31= 46,500/=TZS vs 59,000 ungekuwa wewe ungenunua gesi kweli?

Swali la pili ni kweli serikali hii ina mkakati madhubuti wa kupambana na mazingira na
Tumia vitu kwa bajeti
Mkaa ukipika ukaivisha unaobaki unabidi kuumwagia maji ili utumike na Kesho

Then kuhusu Gas, Fanya hivyo unafungulia taratibu nunua hotpot kubwa isiyopoza uwe unapika maramoja kwa siku tu

Then unahifadhi Katika hotpot so tumia vizuri vitu
 
Habari wakuu tupeane ufahamu kidogo
Mi jwangu natumia mkaa wa 1500 kwa shughuli zote hapa kupika usiku na mchana, kuchemsha maji, uji wa watoto

Gas ya 57,000 na nauli ya 2000 kuifikisha nyumbani jumla 59 000, hii inachukua wiki 4 kasoro kama siku 3 na wakati huo nikiongezea na mkaa kwenye maharage, kuchemsha maji

Swali ungekuwa wewe kweli hapo kuna haja ya gesi maana mkaa kwa mwezi ni 1500x31= 46500,

59000 vs 46500 different ni 12500 ndo nasave jiko la ges ngoja tu liozee ndani

Hapo kuna nia ya dhati ya kutunza mazingira kweli na waziri wa nishati anaongea simple kati ya mawaziri siwaamini hi january anajifanya kabisa kuwa hajui ges na mkaa bei zake zikoje sokoni
 
Haya, nenda huko nje ukatafute makaratasi uwashe jiko la mkaa. Kuwasha mkaa mpaka ukolee sio chini ya dakika kumi. Sisi wa gesi tunabonyeza tu button na tunapikia ndani.
 
kwa kumanage time chukua gas labda kam wew una matumizi mengi ya gas au unapika maharage kwenye gas ndio maana inaisha haraka?Au muda mwingi unatumia ukiwa home na shughuli zako ni za nyumbani?Nadhani majibu unayo wewe so fanya uamuzi kulingana na matumizi yako
Mi na mfanyajazi naangalia bajeti tu ya bei sii time tena
 
Maharage unabidi kuyaweka Katika chupa ya chai ndo Yana lala umo then Ahsubui yanakuwa yameiva na unaweka Katika Gas hayazidi dk 20 yanakuwa yameiva , Gas usifungulie Hadi mwisho .fungulia kiwango Cha Kati

Fanya hivyo then unipe mrejesho ata mkaa ukibaki unaumwagia maji ili uutumie na Kesho

Hakikisha kwa siku unapika maramoja nunua hotpot kubwa ili ukipika unaweka chakula chako vizuri

si kwa sababu una mfanyakaz ndo uamue kutumia mkaa ...maana kuna vitu unatakiwa uvifanye kwa wakati unachelewa kwa sababu ya kutumia mkaa so nakushauri uwe na gas na pia uwe na mkaa maana kuna vitu unatakiwa utumie mkaa kuna vingine unatakiwa utumie gas na sio kwa sababu una mfanyakazi ndo usijali muda Na kama unatumia kwanini usinunue mzigo mkubwa ili kupunguza gharama kubwa ya kununua mkaa kila siku ...just simple calculation
 
kama unamapishi makubwa mkaa ni nafuu ndio maana unauzwa kila siku mjini. kama msela kama mm gas inakufaa zaidi....
Binafsi I'd prefer gesi... Make umetoka zako job unarudi gheto maswala ya kukoleza tena moto kwenye mkaa na ubao wa maana umekukamata au kuna kipolo cha wali uliacha jana night afu kukipasha mpaka ukoleze mkaa ni waste of time mazee...

Mkaa ni backup endapo unataka kuchemsha maji mengi labda ya kunywa au kupika vyakula vinavyotumia moto muda mrefu..
 
Maharage unabidi kuyaweka Katika chupa ya chai ndo Yana lala umo then Ahsubui yanakuwa yameiva na unaweka Katika Gas hayazidi dk 20 yanakuwa yameiva , Gas usifungulie Hadi mwisho .fungulia kiwango Cha Kati

Fanya hivyo then unipe mrejesho ata mkaa ukibaki unaumwagia maji ili uutumie na Kesho

Hakikisha kwa siku unapika maramoja nunua hotpot kubwa ili ukipika unaweka chakula chako vizuri
Uko sahihi kuhusu maharage nimefanya sana hii trick, Tena ukiyalaza na maji ya moto kwenye chupa ya chai ndo ukija kuyapika hata hayatachelewa kabisa kuiva..
 
Yes Mkuu mtoa Mada anabidi kuishi kwa Akili la sivyo ataendelea kulalamika
 
Wakuu mi kwangu mkaa wa 1500 kwa siku ya natosha kupika, kuchemshia maji ya kunywa na mapishi kwa siku nzima halafu ges ambayo huwa natumia hii ya 30kg inamaliza wki 3 na sehemu na inauzwa 58,000, transport 2000 jumla 59,000

Sasa wakuu mkaa 1500x31= 46,500/=TZS vs 59,000 ungekuwa wewe ungenunua gesi kweli?

Swali la pili ni kweli serikali hii ina mkakati madhubuti wa kupambana na mazingira?
Pamoja na kwamba hesabu yako ya gesi ilitakiwa kuwa Tsh. 60,000/=
Kuna mambo ambayo ukizingatia, bado gesi ina nafuu.

A: GESI
1: Gharama: hutegemea na mtumiaji.

Matumizi ya gesi: kuhakikisha wanaotumia wanaelewa kuwa moto wa gesi unaotakiwa kuwaka ni bluu, na si njano. Wengi hutegemea ile sauti ya uwakaji na kufungua kwa kiasi kikubwa ili kujiridhisha kisaikolojia kumbe gesi nyigi kwa wakati huo inatoka bila kuungua vyema na hivyo kunakuwa na poor heat. Ukifanya hivyo utaona unaitumia kwa muda mrefu na utashangaa.

2: Time factor for cooking: nzuri

3: Usafi: mzuri

4: Utunzaji mazingira: nzuri

5: Material ya kuwashia: nzuri

6: Material kusafishia vifaa: nzuri

7: Afya: ni njema zaidi

B: MKAA
1: Gharama: inategemea ulipo na matumizi kama kwa gesi.

2: Usafi: chini ya gesi

3: Time factor: zaidi ya gesi

4: Utunzaji mazingira: mbaya kuliko gesi

5: Material ya kuwashia: juu zaidi ya gesi

6: Material kusafishia vifaa: juu zaidi ya gesi

7: Afya: kuna tatizo

NB: Tujaribu kujifunza pia, kwa vitu vya kuchemsha kama nyama etc. Kuchemshwa kwa wakati mmoja na jioni kuwa ni kuunha tu. Kutokana na urahisi wa gesi, unaweza kukuta mtu anachemsha asubuhi na jioni.

Pia ishu ya maharage kulowekwa kwanza kama ilivyoshauriwa na wadau hapo juu.
 
Bora gesi haloo mkaa kwanza ni uharibifu wa mazingira pia ukisahau umeshawa halafu ukalala ndani ya chumba utaamka umekwisha habari Yako.
 
Back
Top Bottom